Kopunovic: Tambwe ni hatari aisee
![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX44g1qttVa4Q5XF4yVil8jpkTeGAf3Rl2d8bqoXze8ws3WgtwSOkm7pgHyaYO8S3qBJirZLVpqnxstnrsbIJv3v/k.jpg)
Mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe. Na Sweetbert Lukonge, Zanzibar KOCHA Mkuu wa Simba, raia wa Serbia, Goran Kopunovic, amewashangaa viongozi wa klabu hiyo kwa kumuacha Amissi Tambwe kwenye usajili uliopita.Simba waliachana na Tambwe kwenye usajili uliopita kwa kile walichodai kuwa, ameshuka kiwango pamoja na kwamba msimu mmoja tu nyuma aliwapa heshima ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Tambwe baada ya kuachwa,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZakFNPDv*mbs6Bqga98OectwsW65sLhSnGmahfRD2gQuNFyHyexTEBnqY3TJQOVAAGea0Lx-uFq1oVxSc1tgANo/berthdei.jpg?width=650)
BETHIDEI YA ONGO MUVI: AISEE ACHA TU!
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Yanga mastraika 8, Mtaua bendi aisee!
Wachezaji wa Yanga wakishangilia.
Nicodemus Jonas, Dar es Salaam
YANGA imeizidi kete Simba katika utitiri wa washambuliaji baada ya usajili wa nyota wawili kwa mpigo; Paul Nonga na Issofou Boubacar ‘Garba’ ambao umeifanya kuwa na jumla ya washambuliaji nane, mmoja zaidi ya watani wao.
Wakati wadau wa soka wakijadili umuhimu wa Nonga katika jeshi lililosheheni washambuliaji wakali, Yanga wamekuja juu na kusema kuwa na ingewezekana wangeendelea kuongeza wengine kwani wanataka kuwa na kikosi...
11 years ago
MichuziBARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!
10 years ago
Vijimambo20 May
Kopunovic alegeza masharti Simba.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Goran-20MAY2015.jpg)
Sizitaki mbichi hizi zimeanza kujitokeza kwa Mserbia Goran Kopunovic ambaye alishindwana na Simba baada ya kuitaka klabu hiyo kumpa Sh. milioni 100 za ada ya usajili ili kusaini mkataba mpya huku pia akiitaka kumuongeza mshahara na kuwa Sh. milioni 28 kwa mwezi.
Hata hivyo, wakati Simba ikiwa katika mchakato wa kusaka mbadala wake, imeelezwa kuwa kocha huyo ameanza kuwapigia simu viongozi wa klabu hiyo na kuwaambia ameshusha kiwango cha fedha anachotaka kulipwa ili...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3unH8KTqUeGKQy18HimTVqJMrGBbzItuTBKoymy47KDE0qDjL51n8hY0yYhsqosX4VB5JP-*nRBpQLf-7fmfEGq/4.jpg?width=650)
Wezi wamliza Kopunovic hotelini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i41PO2l4KKWLA2-wSIWN22AUyMzvtSrvhRfylWRtCsX09-wTkvbLcnSgQjOCCimXxoztckdGjmdnsGb7gjSILOzPW4I69kJ*/1.jpg)
Kopunovic amtaja aliyeimaliza Simba
10 years ago
TheCitizen15 Jan
Kopunovic shifts focus on league
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jn0HiigvFFw*U6IYjtcJvWBwr4kuffMHV2niGYXl*-T5f79hqR56HZm3XbgctFVsMONjsllM*TKyLqe*Me7KJQWXCkP6EX2M/NOVIC.jpg)
Kopunovic aondoa watatu Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzOqy3VcUw5ZNppL02DCzZoEx*Df7GwMEgLxpCoWNJYyC0meL49I8FJvuDZ0zvvBXlopTmmFTwnzFk4I7Jvt1nM-/DSC03519.jpg?width=750)
Kopunovic aiwahi Yanga Tanga