Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga mastraika 8, Mtaua bendi aisee!

SIMBA-YANGA-12.jpgWachezaji wa Yanga wakishangilia.

Nicodemus Jonas, Dar es Salaam

YANGA imeizidi kete Simba katika utitiri wa washambuliaji baada ya usajili wa nyota wawili kwa mpigo; Paul Nonga na Issofou Boubacar ‘Garba’ ambao umeifanya kuwa na jumla ya washambuliaji nane, mmoja zaidi ya watani wao.

Busunguuu.jpgWakati wadau wa soka wakijadili umuhimu wa Nonga katika jeshi lililosheheni washambuliaji wakali, Yanga wamekuja juu na kusema kuwa na ingewezekana wangeendelea kuongeza wengine kwani wanataka kuwa na kikosi...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BENDI MPYA YA VIJANA WANNE, RUBY BENDI WATINGA GLOBAL TV ONLINE

Waimbaji wa Ruby Bendi wakiwa katika pozi baada ya kufanya mahojiano na Global TV Online kutoka kushoto ni Suma Luvi, Smaina, Kwea Pia na Maya. (PICHA: GLOBAL TV ONLINE)

 

10 years ago

GPL

Kopunovic: Tambwe ni hatari aisee

Mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe. Na Sweetbert Lukonge, Zanzibar
KOCHA Mkuu wa Simba, raia wa Serbia, Goran Kopunovic, amewashangaa viongozi wa klabu hiyo kwa kumuacha Amissi Tambwe kwenye usajili uliopita.Simba waliachana na Tambwe kwenye usajili uliopita kwa kile walichodai kuwa, ameshuka kiwango pamoja na kwamba msimu mmoja tu nyuma aliwapa heshima ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Tambwe baada ya kuachwa,...

 

11 years ago

GPL

BETHIDEI YA ONGO MUVI: AISEE ACHA TU!

Aisee! Pati ya ‘bethidei’ ya klabu ya mastaa wa filamu za Kibongo ya Bongo Movie Unity ya kutimiza miaka mitatu tangu ilipoanzishwa, ilikuwa noma sana kwani watu walijiachia balaa. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ akizungumza machache mbele ya watu waliohudhuria. Mpango mzima ambao ulishuhudiwa na Ijumaa Wikienda lililokuwa likirandaranda ndani ya nyumba, ulichukua nafasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkubwa na Wanawe kuzindua bendi

KITUO cha kuvumbua vipaji cha Mkubwa na Wanawe cha Temeke, jijini Dar es Salaam kinatarajiwa kuzindua bendi yake ya muziki wa dansi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bendi ya The Good Ones kutoka Rwanda

Wakati mwimbaji mkuu wa bendi hiyo na mtunzi wa nyimbo, Adrien Kazigira alipoamua kuanzisha bendi hiyo, alikuwa anawatafuta “the good ones”,

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ya Moto Bendi kuvamia Mbeya Sept. 12

BAADA ya kufanya shoo kadhaa jijini Dar es salaam, bendi inayokuja kwa kasi hapa nchini, Yamoto Band, wanatarajia kutoa burudani ya aina yake, jijini Mbeya Septemba 12 katika Ukumbi wa...

 

11 years ago

GPL

MWANA...UKIBENDI UNAUA BENDI LAIVU

Inakuwaje wana? Oya masela dizaini kama mnanifungia vioo mzee mnyama mwenyewe Mpeke. Siyo freshi watu wangu wa nguvu. Kama vipi tusambaze lavu. Ni mpango mzima kozi hapa hatufanyifanyi tu bati tunafanya kazi. Karibu tena kwenye mastori yetu hapa jamvini. Aiseee hizi ni tamu kinoma. Tulia wewe upate udambwidambwi hapa!  
Bila kuwesti taimu, tudei ngoja nikusanue na stori moko ambayo naona kama ikiendelea tutazidi kulosti wana...

 

9 years ago

Global Publishers

Bendi ya SMG yatimiza miaka 4 ya uimbaji

3

Mmoja wa waimbaji wa bendi hiyo akifanya yake.1

46Picha matukio ya sherehe ya kutimiza miaka minne ya bendi ya SGM. BENDI ya Soul.

Gospel International ‘SMG’ ya Kawe jijini Dar, jana Jumapili ilisherehekea kutimiza miaka minne katika huduma ya uimbaji.

Sherehe hiyo ilifanyika katika Kanisa la Living Watels lililopo Kawe Makuti linaloongozwa na mtume Onesmo Ndegi sambamba na kusindikizwa na waimbaji kama Elly Jo, John Honore, Heleni Kijazi (mwimbaji wa taarabu), Bombi Johnson na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wengi wafariki onyesho la bendi Seoul

Watu wapatao 16 wamekufa na wengine 11 kujeruhiwa katika tamasha la muziki mjini Seongnam, kusini mwa Seoul

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani