Kopunovic aiwahi Yanga Tanga
![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzOqy3VcUw5ZNppL02DCzZoEx*Df7GwMEgLxpCoWNJYyC0meL49I8FJvuDZ0zvvBXlopTmmFTwnzFk4I7Jvt1nM-/DSC03519.jpg?width=750)
Kocha wa Simba, Goran Kopunovic. Na John Joseph YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani leo pale Mkwakwani mkoani Tanga, kukipiga dhidi ya Coastal Union, lakini upande wa pili ni kuwa makocha wa Simba, Goran Kopunovic na msaidizi wake, Selamani Matola wanatarajiwa kuwa uwanjani hapo kuishuhudia mechi hiyo. Yanga itakuwa mgeni wa Coastal, katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara ikiwa inajiandaa kukipiga dhidi ya BDF ya Botswana, katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7F975s5rOKggwy5ASgWqHSASsEvKZUbJTDw8JPhuC6XJAcnE-D4b5t7c1L7hugAxk0CvPBjDCywuFCn3y6Di4GmANPNrDhwk/kopu.jpg)
Kopunovic ateta na Okwi aiangamize Yanga
10 years ago
Vijimambo05 Feb
YANGA SC YA TAIFA SIYO YA TANGA COASTAL WAKAA NYUMBANI NA KUIPISHA YANGA IFANYE YAKE
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/Cannavaro-6.jpg)
Ushindi huo umeifanya Yanga SCiwang’oekileleni Azam FC ikifikisha pointi 22,moja nyuma ya wanalambalamba ambao hata hivyo, wana mechi moja mkokoni.Katika mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 10 iliyopaswa kuchezwa jijini hapa Januari 10 lakini ikapigwa kalenda na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
9 years ago
Habarileo07 Dec
Mgambo waipania Yanga Tanga
KOCHA Bakari Shime wa Mgambo JKT, amesema amekiandaa kikosi chake kuweka rekodi msimu huu kwa kuwa timu ya kwanza kuwafunga mabingwa watetezi Yanga katika pambano la Ligi Kuu litakalopigwa Mkwakwani Desemba 12.
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Yanga waivamia Mgambo Tanga
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
ZIKIWA zimebakia siku sita kabla ya timu ya Yanga kukipiga na Mgambo JKT ya mkoani Tanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, mmoja wa vigogo wa timu hiyo ametua jijini humo wikiendi iliyopita tayari kabisa kuweka mazingira sawa ya kuibuka na ushindi.
Yanga inakabiliwa na mchezo huo mgumu utakaofanyika Uwanja wa Mkwakwani kwenye mwendelezo wa ligi hiyo, iliyosimama takribani mwezi mmoja na nusu kupisha michuano ya Kombe la Chalenji na mechi za mbili za timu ya...
9 years ago
Habarileo10 Dec
Yanga yaenda kamili Tanga
MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga leo wanaianza safari ya kwenda Tanga kusaka pointi sita muhimu. Yanga itakuwa na mechi na Mgambo Shooting keshokutwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kabla ya kumenyana na African Sports Jumatano ijayo kwenye uwanja huohuo.
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Yanga sc kamili yaifuata Mgambo Tanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha timu ya Yanga kinatarajiwa kuelekea jijini Tanga leo, tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mgambo Shooting uliopangwa kufanyika Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani mkoani humo.
Kwa mujibu wa kocha mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ataondoka na wachezaji wote wa timu hiyo na anatarajia kupanga kikosi kitakachoshuka dimbani kesho jioni.
Pluijm alisema kuwa awali walikuwa na mpango wakuweka kambi mjini Bagamoyo, lakini kutokana na sababu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFwA0VhkEa61nHKkM4SVqRElS4ePQnAwwKb6-iqXl-8jixdNKJ3-WDQxEiJpchZoWotSrTJ1U6us*NFQ4hE31hQk/yanga1.jpg?width=650)
YANGA YAZINDUA TAWI JIPYA WILAYANI MUHEZA, TANGA
5 years ago
MichuziYANGA YATOA MSAADA WODI YA WAKINA MAMA KITUO CHA AFYA NGAMIANI JIJINI TANGA