Yanga yaenda kamili Tanga
MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga leo wanaianza safari ya kwenda Tanga kusaka pointi sita muhimu. Yanga itakuwa na mechi na Mgambo Shooting keshokutwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kabla ya kumenyana na African Sports Jumatano ijayo kwenye uwanja huohuo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Yanga sc kamili yaifuata Mgambo Tanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha timu ya Yanga kinatarajiwa kuelekea jijini Tanga leo, tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mgambo Shooting uliopangwa kufanyika Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani mkoani humo.
Kwa mujibu wa kocha mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ataondoka na wachezaji wote wa timu hiyo na anatarajia kupanga kikosi kitakachoshuka dimbani kesho jioni.
Pluijm alisema kuwa awali walikuwa na mpango wakuweka kambi mjini Bagamoyo, lakini kutokana na sababu...
11 years ago
MichuziWACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI
10 years ago
Habarileo10 Sep
Simba yaenda Tanga kufuata pointi sita
KIKOSI cha Simba kinatarajia kuondoka leo kwenda Tanga kwa ajili ya mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Jumamosi dhidi ya African Sports ya huko.
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Yanga yajitoza faini, yaenda Uturuki
10 years ago
Vijimambo05 Feb
YANGA SC YA TAIFA SIYO YA TANGA COASTAL WAKAA NYUMBANI NA KUIPISHA YANGA IFANYE YAKE

Ushindi huo umeifanya Yanga SCiwang’oekileleni Azam FC ikifikisha pointi 22,moja nyuma ya wanalambalamba ambao hata hivyo, wana mechi moja mkokoni.Katika mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 10 iliyopaswa kuchezwa jijini hapa Januari 10 lakini ikapigwa kalenda na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
10 years ago
GPL
KOMBE LA SHIRIKISHO: YANGA KAMILI GADO
11 years ago
GPL
YANGA KAMILI KUIVAA AL AHLY KESHO