Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yaenda Tanga kufuata pointi sita

KIKOSI cha Simba kinatarajia kuondoka leo kwenda Tanga kwa ajili ya mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Jumamosi dhidi ya African Sports ya huko.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Simba yatamba kubeba pointi sita Tanga

simba-sports-club12NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba, tayari wametua mkoani Tanga kamili kuchukua pointi sita ambapo wamepania kuanza kuzisaka kwa African Sports ‘Wana Kimanumanu’, wanaokutana nao kesho, Uwanja wa Mkwakwani.

Simba itacheza michezo miwili ikiwa mkoani humo, ambapo baada ya kumalizana na Wana kimanumanu hao itakaa kuwasubiria Mgambo JKT, ambayo watakutana nayo Septemba 16, kwenye uwanja huo.

Timu hiyo imeondoka jana, huku ikimkosa mchezaji Abdi Banda, ambaye atakuwa nje...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yaenda kamili Tanga

MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga leo wanaianza safari ya kwenda Tanga kusaka pointi sita muhimu. Yanga itakuwa na mechi na Mgambo Shooting keshokutwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kabla ya kumenyana na African Sports Jumatano ijayo kwenye uwanja huohuo.

 

11 years ago

GPL

Simba yapokwa pointi 10

Na Hans Mloli
MATUMAINI ya Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, inawezekana yamefikia tamati jana baada ya kupata kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa JKT Ruvu, ikiwa na maana kuwa Simba imepata pointi mbili kati ya 12 kwenye mechi zilizopita za ligi hiyo. Simba imepoteza pointi 10 kwa kuwa ilitoa sare dhidi ya Mtibwa Sugar, ikafungwa na Mgambo, ikatoka sare tena na Mbeya City kisha kufungwa na JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yaenda Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar kesho

>Simba imeondoka jana Dar es Salaam kuelekea mjini Morogoro tayari kwa pambano lake la Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkwabi: Pointi tatu muhimu Simba

MGOMBEA nafasi ya Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Swedi Nkwabi, amezindua rasmi kampeni zake huku kubwa ikiwa ni pointi tatu ndiyo sababu ya kuwania nafasi hiyo. Swedi, mgombea...

 

10 years ago

Mwananchi

Pointi tatu kuitoa roho Simba SC

Ni vita kwa Simba iliyo katika nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 16 inaposaka ushindi na pointi tatu leo dhidi ya Coastal Union ya Tanga ili ipande kwa mara ya kwanza na kuingia tatu bora.

 

10 years ago

Michuzi

WACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI

 Baadhi ya wachezaji wa Simba wakielekea kupanda boti katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda Zanzibar kwenye kambi ya mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanzai hivi karibuni. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha. Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe (wa pili kushoto) akiwa na wachezaji wenzake. Wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika boti kabla...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mfumo uliwanyima Simba kupata pointi tatu’

Mwanza Kocha msaidizi wa Stand United, Athumani Bilali ametoboa siri kuwa mfumo wa 4-3-2-1 walioutumia ndio uliofanya Simba washindwe kuondoka na pointi tatu kwenye mechi yao ya Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Vijimambo

MROPE: HALI MBAYA IMENIKIMBIZA STAND UNITED, WACHEZAJI SITA WAMETIMKA, WENGINE ZAIDI KUFUATA…

Na Baraka MbolemboleWachezaji sita wa timu ya Stand United wameondoka katika timu hiyo na kurudi ‘ majumbani’ mwao baada ya hali mbaya katika timu hiyi. Hakuna huduma nzuri katika kambi ya timu hiyo, maradhi ni shida, huku wachezaji wanaopata majeraha wakitibiwa kwa Panaldo. Patrick Mrope ni mmoja wa wachezaji sita ambao wameamua kuachana na timu hiyo na kufikia tarehe 26, Mwezi huu mchezaji atakuwa huru kwa sababu atafikisha miezi mitatu bila kulipwa mshahara wake.Patrick Mrope akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani