KOMBE LA SHIRIKISHO: YANGA KAMILI GADO
![](http://api.ning.com:80/files/db4JtL*UowEcylgslXcsDaFujAu-AQVtv3Iftw*Bx33jxcCFYckMuEc0qneJhC1pLyWGOPKqWn5TbF1a7iaO7fGHREZaWWAB/YANGA.jpg?width=650)
Na Louis Ngwako, Gaborone YANGA iko tayari kwa lolote! Kama haukubali, subiri leo saa 2:30 usiku uone wakiwa kazini dhidi ya BDF XI. Yanga inahitaji sare ya aina yoyote ili kusonga mbele, au ikiwezekana ushindi, pia poa tu! Kikosi kizima cha Yanga kimemaliza mandalizi yake kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya timu hiyo ya Jeshi la Ulinzi Botswana, mechi itakayopigwa kwenye Uwanja wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Kombe la Shirikisho:Yanga dimbani leo
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Yanga ina matumaini kombe la shirikisho.
10 years ago
Mwananchi13 Feb
KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA: Yanga kutumia mbinu za Al-Ahly
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …
Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]
The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.