Kombe la Shirikisho:Yanga dimbani leo
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Yanga watawakabili BDF XI huko Gaborone, Botswana
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Yanga ina matumaini kombe la shirikisho.
Klabu ya Yanga Tanzania imesema ina inamatumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya soka kombe la Shirikisho Barani Afrika.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/db4JtL*UowEcylgslXcsDaFujAu-AQVtv3Iftw*Bx33jxcCFYckMuEc0qneJhC1pLyWGOPKqWn5TbF1a7iaO7fGHREZaWWAB/YANGA.jpg?width=650)
KOMBE LA SHIRIKISHO: YANGA KAMILI GADO
Na Louis Ngwako, Gaborone
YANGA iko tayari kwa lolote! Kama haukubali, subiri leo saa 2:30 usiku uone wakiwa kazini dhidi ya BDF XI.
Yanga inahitaji sare ya aina yoyote ili kusonga mbele, au ikiwezekana ushindi, pia poa tu!
Kikosi kizima cha Yanga kimemaliza mandalizi yake kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya timu hiyo ya Jeshi la Ulinzi Botswana, mechi itakayopigwa kwenye Uwanja wa...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA: Yanga kutumia mbinu za Al-Ahly
>Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema kikosi chake kipo tayari kwa vita na kuahidi kucheza soka la kushambulia muda wote dhidi ya BDF XI ya Botswana.
9 years ago
Michuzi09 Nov
UZINDUZI KOMBE LA SHIRIKISHO LEO
![](http://tff.or.tz/images/asfclounge.png)
11 years ago
GPLYANGA DIMBANI LEO DHIDI YA ANKARA SEKER SPOR
Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Yanga leo wanacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya timu daraja la kwanza ya Ankara Seker Spor, Mechi hiyo itachezwa saa 9.00 za Tanzania kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mashindano wa kimataifa wa Yanga, Seif “Magari†Ahmed amesema Ahmed alisema kuwa wachezaji wanaendelea vizuri na mpaka sasa wamepania kufanya vyema katika mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua.Alisema kuwa...
10 years ago
CloudsFM27 Apr
Yanga kunyakua kombe leo Taifa?
Katibu Mkuu wa Yanga, Dk. Jonas Tiboroha alisema kuwa wameandaa champagne na jezi za kutosha kwa ajili ya kusherehesha ubingwa huo kama watautwaa leo.
“Tunajua umuhimu wa mchezo huo (Polisi Moro) ambao utakuwa mgumu kutokana na wapinzani wetu kuwa kwenye hatari ya...
9 years ago
Vijimambo22 Aug
AZAM NA YANGA TAIFA LEO KOMBE LA NGAO
![](http://www.timesfm.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/Azam-Na-Yanga.jpg)
Mpaka sasa ni 0-0 mpira ni mapumziko
Washambuliaji wa Yanga Saimon Msuva, Donald Ngoma raia wa Botoswana na Vicent Bossou raia wa Mali wanaitetekisha ngome ya Azam kila Mara kutokana na mashambulizi ya Mara Kwa Mara kutoka Kwa winga wao Kijana mdogo Geofrey Mwashiuya. Yanga kipindi cha kwanza walitoa mashambulizi kutoka upande wa Kusin kenda kaskazini kipindi cha pili Yanga watatoa mashambulizi kutoka kaskazini kwenda Kusin, historian ya uwanja huu wa Taifa goli la upande wa kusini uwa...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Simba, Yanga dimbani Taifa Oktoba 12
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania (Bara), huku Simba na Yanga zikipangwa kukutana Oktoba 12 katika pambamo litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi19 Apr
KOMBE LA SHIRIKISHO: Tumekosa wote
>Yanga imejijengea mazingira magumu ya kusonga mbele kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Etoile du Sahel.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania