Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba, Yanga dimbani Taifa Oktoba 12

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania (Bara), huku Simba na Yanga zikipangwa kukutana Oktoba 12 katika pambamo litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Simba, Yanga kuumana Oktoba 12

Ofisa mtendaji wa bodi ya ligi, Silas Mwakibinga

Ofisa mtendaji wa bodi ya ligi, Silas Mwakibinga

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

WATANI wa jadi Simba na Yanga wamepangwa kukutana kwa mara ya kwanza Oktoba 12, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Ratiba hiyo ilionyesha kuwa watani hao watarudiana tena Februari 8 uwanja huo wa Taifa.

Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 20, tayari timu hizo zimeshaingia mafichoni kujiweka sawa na ligi hiyo, Simba wakiwa Unguja na Yanga...

 

10 years ago

GPL

MECHI YA SIMBA, YANGA OKTOBA 12 YAHIRISHWA

Mechi ya Yanga dhidi ya Simba (Picha na Maktaba). Ile mechi ya Yanga dhidi ya Simba imesogezwa mbele na TFF haijasema itakuwa siku gani.
Badala yake siku hiyo kutakuwa na mechi ya Taifa Stars. Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inashuka uwanjani Oktoba 12 mwaka huu kuikabili Benin katika mechi ya kirafiki ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Mechi hiyo itachezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba, Gor Mahia dimbani leo

Simba inashuka uwanjani leo kuikabili Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku ikiwakosa wachezaji wake sita walio katika vikosi vya timu za Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba dimbani leo, City yatulizwa

Baada ya kupokea vipigo wiki iliyopita, Simba na Ruvu Shoooting leo zinakutana katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

SIMBA, YANGA WATOKA SARE TAIFA, DAR

Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza leo dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Taifa Dar. Kikosi cha timu ya Yanga kilichonza dhidi ya Simba.…

 

5 years ago

Michuzi

Rais CAF kuwashuhudia Simba na Yanga Taifa

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmed Ahmed anatarajia kuwasili nchini Siku ya Jumamosi Machi 7 kwa mwaliko wa Rais wa TFF.
Ahmad anakuja nchini kwa kwa mara ya kwanza na ataishuhudia mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa Jumapili Machi 8, 2020 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 
Hii ni mara ya kwanza kwa Rais wa CAF kupata nafasi ya kuja nchini na kushuhudia mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayowahusisha watani wa jadi Yanga na...

 

10 years ago

GPL

SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA YANGA TAIFA

Timu ya Simba SC imeshinda bao 2 – 0 dhidi ya Yanga SC kwenye mechi ya kirafiki ya Mtani Jembe 2 Uwanja wa taifa, Dar wafungaji Okwi na Maguri. VIKOSI VYA LEO YANGA VS SIMBA YANGA: Deo Dida, Abdul Juma, Oscar Joshua, Nadir Haroub Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Haruna Niyonzima, Emerson Roque, Simon Msuva, Kpah Sherman, Coutinho SIMBA: Ivo Mapunda, Nassor Chollo, Mohammed Hussein, Hassan Isihaka, Juuko Murishid, Jonas Mkude...

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga yasema imetosha, yailaza Simba Taifa

Dar es Salaam. Kama kuna mtu atakayekuwa na furaha leo kati ya wachezaji wa Yanga bila shaka atakuwa mshambuliaji, Malimi Busungu ambaye ameisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Simba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani