Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais CAF kuwashuhudia Simba na Yanga Taifa

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmed Ahmed anatarajia kuwasili nchini Siku ya Jumamosi Machi 7 kwa mwaliko wa Rais wa TFF.
Ahmad anakuja nchini kwa kwa mara ya kwanza na ataishuhudia mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa Jumapili Machi 8, 2020 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 
Hii ni mara ya kwanza kwa Rais wa CAF kupata nafasi ya kuja nchini na kushuhudia mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayowahusisha watani wa jadi Yanga na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ASHUHUDIA YANGA IKIIBUGIZA SIMBA 1-0, UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO


Rais Dk. John Magufuli na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi na Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam, leo,  Machi 8, 2020 na kushuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba.
 Rais Dk. John Magufuli na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT.MAGUFULI ASHUHUDIA YANGA IKIICHAPA 1-0 SIMBA SC UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi nan a Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga...

 

11 years ago

GPL

Mechi tano za Yanga zaiondoa Simba Caf

Na Sweetbert Lukonge
ENDAPO  Yanga na Azam zitafanikiwa kushinda mechi zake tano kati ya tisa zilizobakiza, zitakuwa zimeinyima Simba nafasi ya kushiriki tena michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf). Msimu uliopita Simba ilikosa nafasi ya kushiriki michuano hiyo ya kimataifa baada ya kushindwa kufanya vizuri ligi kuu na kuziacha Yanga na Azam zikiiwakilisha Tanzania kwenye michuano hiyo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga dimbani Taifa Oktoba 12

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania (Bara), huku Simba na Yanga zikipangwa kukutana Oktoba 12 katika pambamo litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

SIMBA, YANGA WATOKA SARE TAIFA, DAR

Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza leo dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Taifa Dar. Kikosi cha timu ya Yanga kilichonza dhidi ya Simba.…

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga yasema imetosha, yailaza Simba Taifa

Dar es Salaam. Kama kuna mtu atakayekuwa na furaha leo kati ya wachezaji wa Yanga bila shaka atakuwa mshambuliaji, Malimi Busungu ambaye ameisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Simba.

 

10 years ago

GPL

SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA YANGA TAIFA

Timu ya Simba SC imeshinda bao 2 – 0 dhidi ya Yanga SC kwenye mechi ya kirafiki ya Mtani Jembe 2 Uwanja wa taifa, Dar wafungaji Okwi na Maguri. VIKOSI VYA LEO YANGA VS SIMBA YANGA: Deo Dida, Abdul Juma, Oscar Joshua, Nadir Haroub Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Haruna Niyonzima, Emerson Roque, Simon Msuva, Kpah Sherman, Coutinho SIMBA: Ivo Mapunda, Nassor Chollo, Mohammed Hussein, Hassan Isihaka, Juuko Murishid, Jonas Mkude...

 

10 years ago

GPL

SIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA

Emmanuel Okwi wa Simba (kulia) akikwatuliwa na beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' katika mechi baina ya timu hizo leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Okwi. Abdi Banda wa Simba (kulia) akiondoka na mpira huku akikabwa na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani