Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA YANGA TAIFA

Timu ya Simba SC imeshinda bao 2 – 0 dhidi ya Yanga SC kwenye mechi ya kirafiki ya Mtani Jembe 2 Uwanja wa taifa, Dar wafungaji Okwi na Maguri. VIKOSI VYA LEO YANGA VS SIMBA YANGA: Deo Dida, Abdul Juma, Oscar Joshua, Nadir Haroub Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Haruna Niyonzima, Emerson Roque, Simon Msuva, Kpah Sherman, Coutinho SIMBA: Ivo Mapunda, Nassor Chollo, Mohammed Hussein, Hassan Isihaka, Juuko Murishid, Jonas Mkude...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA JKT RUVU TAIFA

Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16. Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YASHINDA KWA BAO 2-0 MECHI YAKE NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAYOCHEZWA UWANJA WA TAIFA,

Timu ya Yanga imeshinda mechi yake na BDF XI FC ya Botswana katika memchi ya kombe la shirikisho Barani Africa, Timu hiyo mahasimu wakubwa wa Simbawametoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 2-0 magoli yote yamefungwa na mchezaji Hamis TambwePicha kwa hisani ya Michuzi Blog zilizopigwa na Othman Michuzi

 

10 years ago

Vijimambo

Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar.…


Mshambuliaji wa Simba, Danny Sserunkuma.
Mshambuliaji wa Simba, Emanuel Okwi akishangilia katika moja ya mechi ya Ligi Kuu Bara.
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.

 

9 years ago

GPL

CHELSEA YASHINDA DHIDI YA ARSENAL BAO 2- 0

Mchezaji wa Chelsea, Kurt Zouma akifunga bao la kwanza dakika ya 53 kipindi cha kwanza dhidi ya Arsenal katika Uwanja wa Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea wameshinda bao 2-0 dhidi ya Arsenal. ...Wachezaji wa Chelsea…

 

9 years ago

GPL

MANCHESTER UNITED YASHINDA BAO 3-1 DHIDI YA CLUB BRUGGE

Mchezaji wa Man Utd, Memphis Depay akishangilia baada ya kusawazisha bao dakika ya 14 kipindi cha kwanza. Man Utd walipata ushindi wa 3-1 dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji katika Uwanja wa Old Trafford usiku wa kuamkima leo. Marouane Fellaini,  akishangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 90 kipindi cha pili. Soma zaidi hapa ===>… ...

 

11 years ago

Michuzi

AZAM FC yashinda bao 1-0 dhidi ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji leo

 Habari na picha  na Mahmoud Zubeiry AZAM FC imepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jioni hii.Shukrani kwake mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Kipre Herman Tchetche (pichani juu) aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 41 baada ya kutengewa pasi nzuri ya kichwa na Mganda Brian Umony na kufumua shuti kali.Mchezo ulikuwa mkali dakika zote 90...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA YANGA NA MGAMBO JKT YANGA YASHINDA 2-0 TAIFA

Mashabiki Yangawakishangilia ushindi wa goli 2 huku wakionyesha vidole viwili juu katika mtanange wale Taifa kati ya timu ya Mgambo JKT kutoka Tanga na Yanga ya Dar es Salaam na timu ya Yanga kuibuka na pointi zote 3 baada ya kuifunga timu hiyo ya wagosi wa kaya kwa bao 2-0.Ni raha tu kama wanavyoonekana mashabiki wa Yanga walioshuhudia timu hiyo ilipoibanjua Magambo JKT  kwa bao 2-0 kwa mechi iliyochezewa uwanja wa Taifa.Kipa wa Mgambo JKT, Said Lubawa, akilalamika baada ya Msuva kuutundika...

 

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

10 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga inaongoza kwa bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani