AZAM FC yashinda bao 1-0 dhidi ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-DnXR4mLqJhc/Uve7q__-_HI/AAAAAAAFL8s/hOaFomcAaCo/s72-c/kipre1.jpg)
Habari na picha
na Mahmoud Zubeiry
AZAM FC imepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jioni hii.Shukrani kwake mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Kipre Herman Tchetche (pichani juu) aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 41 baada ya kutengewa pasi nzuri ya kichwa na Mganda Brian Umony na kufumua shuti kali.Mchezo ulikuwa mkali dakika zote 90...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/2C81337500000578-3241084-image-a-72_1442668448161.jpg)
CHELSEA YASHINDA DHIDI YA ARSENAL BAO 2- 0
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/x9KBpl7z4r*IAaSOBAVEXkhIuNbb6nZwn9bS86lbfJ7z4SdEyweQrGEdAfgLnfG1a2YbBFo-kgQmqa5CxjgcJT-xh4j2lSY7/bloggerimage1609090308.jpg)
SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA YANGA TAIFA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lQ0QUhfJdPFUl0yHCFaz*gwEZCyKzyerKWT10cbxuV0mxdcydwYoEa1MZtcRIsIVST12T9sxBiQSbWMOF*KpxQ7JVw3ii*5J/s4.jpg?width=750)
SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA JKT RUVU TAIFA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/MAN-UTD-14.jpg)
MANCHESTER UNITED YASHINDA BAO 3-1 DHIDI YA CLUB BRUGGE
11 years ago
TheCitizen10 Feb
Azam see off stubborn Ferroviario
11 years ago
TheCitizen17 Feb
Ferroviario send Azam packing
10 years ago
MichuziAzam FC yaiadhibu Mtibwa Sugar leo,yaichapa bao 5-2
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la tano dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azama Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 5-2. (Picha na Francis Dande)
11 years ago
TheCitizen11 Feb
Poulsen salutes Azam after Ferroviario win
10 years ago
Vijimambo31 Jan
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar.…
![](http://api.ning.com/files/lQ0QUhfJdPH3clEPGgip55xJJqfb2yRLfvpv1jYYpHG7WGe1NvjVBbexK*lKZRoqwrmLn0XizapiW8qXb-am-abjsWdIBTTE/sserunkuma22.jpg?width=750)
Mshambuliaji wa Simba, Emanuel Okwi akishangilia katika moja ya mechi ya Ligi Kuu Bara.
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10