Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM NA YANGA TAIFA LEO KOMBE LA NGAO


Mpaka sasa ni 0-0 mpira ni mapumziko
Washambuliaji wa Yanga Saimon Msuva, Donald Ngoma raia wa Botoswana na Vicent Bossou raia wa Mali wanaitetekisha ngome ya Azam kila Mara kutokana na mashambulizi ya Mara Kwa Mara kutoka Kwa winga wao Kijana mdogo Geofrey Mwashiuya. Yanga kipindi cha kwanza walitoa mashambulizi kutoka upande wa Kusin kenda kaskazini kipindi cha pili Yanga watatoa mashambulizi kutoka kaskazini kwenda Kusin, historian ya uwanja huu wa Taifa goli la upande wa kusini uwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Yanga kunyakua kombe leo Taifa?

Yanga inashuka kwenye Uwanja wa Taifa leo jijini hapa ikisaka pointi tatu dhidi ya Polisi Moro zitakazowafanya kufikisha pointi 55 ambazo hazitaweza kufikiwa na mabingwa watetezi Azam FC wenye pointi 45 katika nafasi ya pili.
Katibu Mkuu wa Yanga, Dk. Jonas Tiboroha alisema kuwa wameandaa champagne na jezi za kutosha kwa ajili ya kusherehesha ubingwa huo kama watautwaa leo.

“Tunajua umuhimu wa mchezo huo (Polisi Moro) ambao utakuwa mgumu kutokana na wapinzani wetu kuwa kwenye hatari ya...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA AZAM 3-0, YATWAA NGAO YA JAMII

KIKOSI cha Yanga SC kimetwaa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa timu ya Azam FC mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi punde. Mabao ya Yanga yamefungwa na Geilson Santos 'Jaja' dakika ya 56 na 66 huku bao la tatu likiwekwa kimiani na Simon Msuva dakika ya 87 ya mchezo. Hii ni mara ya pili Yanga kuifunga Azam katika mechi za Ngao ya Jamii baada ya msimu uliopita watoto wa Jangwani kuibuka na...

 

10 years ago

Michuzi

KIINGILIO KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII KATI YA AZAM NA YANGA NI BUKU 5 TU!

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi kati ya Azam na Yanga itakayochezwa Jumapili (Septemba 14 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 5,000.
Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni, na kiingilio hicho cha sh. 5,000 ni kwa viti vya rangi ya kijani na bluu vitakavyochukua jumla ya watazamaji 36,000 katika uwanja huo wenye viti 57,558.
Viingilio vingine katika mechi hiyo ambayo itatumia tiketi za elektroniki ni sh. 10,000 kwa viti vya...

 

11 years ago

GPL

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM UWANJA WA TAIFA LEO

Patashika langoni mwa Yanga SC. ...Wanaume kazini. Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao kwa kucheza…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NA AZAM NI SHIIIIIIIIIDA WATOSHANA NGUVU 2 KWA 2 TAIFA LEO

Hamis Tambwe aanza Yanga kwa bao moja leo taifa hapa Tambwe akiisawazishia timu ya Yanga bao katika dk ya 7 baana ya Kavumbaga kuwafunga Yanga bao katika dk ya 5 ya kipindi cha kwanza.Msuva na Tamwe ndiyo walikuwa mashujaa watimu ya Yanga taifa hapa wakichangilia kwa pamoja .Hapa wachezaji wa Azam wakishangilia baada ya kusawazisha bao la pili baada ya kuwa njuma kwa bao 2 kwa moja, Mchezo wa leo ulikuwa muhimu kwa timu zote lakini Azam ndiyo walikamia zaidi kutaka kulipiza kisasi cha...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: MPAMBANO WA KOMBE LA HISANI AZAM VS YANGA

SIMUtv: Mpambano wa kinyanganyiro cha kombe la ngao ya hisani kati ya Azam FC na Yanga umepamba moto huku bao bado ni bila. https://youtu.be/MbaSDAaq3XMSIMUtv: Mambo ya Msuva dimbani ni hatari sana, hebu cheki  akionyesha jitihada na maujuzi yake dhidi ya goli  la Azam; http://simu.tv/OvKYhrOSIMUtv: Ule wasaa uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu hatimaye umewasilili, dimbani ni Yanga FC na Azam FC  wakilisakata . Endela kuwa na Simu.Tvhttps://youtu.be/cjSAxyHE5kASIMUtv:  Ni dakika ya 15 si yanga...

 

9 years ago

Mwananchi

Kombe la Mapinduzi lilete tija Yanga, Azam, Simba

Inawezekana kuhoji mashindano haya ya Kombe la Mapinduzi yaliyoanza jana kisiwani Zanzibar na kushirikisha timu mbalimbali, zikiwamo za Ligi Kuu ya Bara, yana manufaa gani kwa maendeleo ya soka?

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba, Azam zatia mkono fainali Kombe la Chalenji

Rwanda na Uganda zitakutana Jumamosi katika fainali ambayo itawakutanisha kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima na kiungo wa Azam, Jean Baptiste Mugiraneza na beki wa Simba, Juuko Murshid na hivyo kuwa kivutio kwa mashabiki wa klabu hizo kubwa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani