SIMU TV: MPAMBANO WA KOMBE LA HISANI AZAM VS YANGA
![](http://img.youtube.com/vi/hoIsRcCcWGM/default.jpg)
SIMUtv: Mpambano wa kinyanganyiro cha kombe la ngao ya hisani kati ya Azam FC na Yanga umepamba moto huku bao bado ni bila. https://youtu.be/MbaSDAaq3XMSIMUtv: Mambo ya Msuva dimbani ni hatari sana, hebu cheki akionyesha jitihada na maujuzi yake dhidi ya goli la Azam; http://simu.tv/OvKYhrOSIMUtv: Ule wasaa uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu hatimaye umewasilili, dimbani ni Yanga FC na Azam FC wakilisakata . Endela kuwa na Simu.Tvhttps://youtu.be/cjSAxyHE5kASIMUtv: Ni dakika ya 15 si yanga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo22 Aug
AZAM NA YANGA TAIFA LEO KOMBE LA NGAO
![](http://www.timesfm.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/Azam-Na-Yanga.jpg)
Mpaka sasa ni 0-0 mpira ni mapumziko
Washambuliaji wa Yanga Saimon Msuva, Donald Ngoma raia wa Botoswana na Vicent Bossou raia wa Mali wanaitetekisha ngome ya Azam kila Mara kutokana na mashambulizi ya Mara Kwa Mara kutoka Kwa winga wao Kijana mdogo Geofrey Mwashiuya. Yanga kipindi cha kwanza walitoa mashambulizi kutoka upande wa Kusin kenda kaskazini kipindi cha pili Yanga watatoa mashambulizi kutoka kaskazini kwenda Kusin, historian ya uwanja huu wa Taifa goli la upande wa kusini uwa...
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Kombe la Mapinduzi lilete tija Yanga, Azam, Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXrvT8ZigpHppbsXF7xw*bdebYCRVUUDZkl6DnspOLPDK4VK2d2MBQRz8eL-xuc6caBBNK4tVYrXlx5jBKpdB0Jt/SIMBANAYANGA35.jpg?width=650)
KUWAONA SIMBA NA YANGA BUKU 5, AZAM KUKABIDHIWA KOMBE CHAMAZI
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Yanga, Simba, Azam zatia mkono fainali Kombe la Chalenji
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi
Bado burudani ya soka ipo Zanzibar kwa kuendelea kuchezwa michezo ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi B mchana wa January 5 kwa kuzikutanisha timu za Mafunzo ya Zanzibar na Mtibwa Sugar ya Morogoro na mchezo kumalizika kwa Mtibwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0. Usiku wa January 5 ulichezwa […]
The post Cheki pichaz na matokeo ya mchezo wa kukamiana wa Yanga na Azam FC Kombe la Mapinduzi appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …
Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]
The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
VijimamboKUJIANDA NA MPAMBANO WA JUMAPILI KATI YA YANGA NA SIMBA PLUIJM ATIRIRIKA
10 years ago
Habarileo02 Aug
Azam FC yatamba kubakisha Kombe
AZAM FC leo ina kazi moja ya kuhakikisha Kombe la Kagame linabaki nchini itakapocheza fainali dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.