YANGA YAICHAPA AZAM 3-0, YATWAA NGAO YA JAMII
![](http://api.ning.com/files/CWRwFfvur*CmgJiqo*TNY0j2sFvd6zhUfERTlPqI22I1gcvagUrUor1qcEOtc0rhMN7b52M2rxiNKMy3PoV-pvBcKoVMazQa/yangateam.jpg)
KIKOSI cha Yanga SC kimetwaa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa timu ya Azam FC mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi punde. Mabao ya Yanga yamefungwa na Geilson Santos 'Jaja'Â dakika ya 56 na 66 huku bao la tatu likiwekwa kimiani na Simon Msuva dakika ya 87 ya mchezo. Hii ni mara ya pili Yanga kuifunga Azam katika mechi za Ngao ya Jamii baada ya msimu uliopita watoto wa Jangwani kuibuka na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CXiHNLkoX9M/VA7lMyRE7hI/AAAAAAAGiOU/wHEV1rOpAAg/s72-c/TanzaniaFootballFederation.jpg)
KIINGILIO KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII KATI YA AZAM NA YANGA NI BUKU 5 TU!
![](http://1.bp.blogspot.com/-CXiHNLkoX9M/VA7lMyRE7hI/AAAAAAAGiOU/wHEV1rOpAAg/s1600/TanzaniaFootballFederation.jpg)
Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni, na kiingilio hicho cha sh. 5,000 ni kwa viti vya rangi ya kijani na bluu vitakavyochukua jumla ya watazamaji 36,000 katika uwanja huo wenye viti 57,558.
Viingilio vingine katika mechi hiyo ambayo itatumia tiketi za elektroniki ni sh. 10,000 kwa viti vya...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Azam TV kuonesha mechi Ngao ya Jamii kesho
TELEVISHENI ya Azam ambayo ni mahiri kwa burudani itaonesha pambano la kukata na shoka la Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Azam FC litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Yanga Mfalme Ngao ya Jamii
9 years ago
Vijimambo22 Aug
AZAM NA YANGA TAIFA LEO KOMBE LA NGAO
![](http://www.timesfm.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/Azam-Na-Yanga.jpg)
Mpaka sasa ni 0-0 mpira ni mapumziko
Washambuliaji wa Yanga Saimon Msuva, Donald Ngoma raia wa Botoswana na Vicent Bossou raia wa Mali wanaitetekisha ngome ya Azam kila Mara kutokana na mashambulizi ya Mara Kwa Mara kutoka Kwa winga wao Kijana mdogo Geofrey Mwashiuya. Yanga kipindi cha kwanza walitoa mashambulizi kutoka upande wa Kusin kenda kaskazini kipindi cha pili Yanga watatoa mashambulizi kutoka kaskazini kwenda Kusin, historian ya uwanja huu wa Taifa goli la upande wa kusini uwa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/edNtLJKyk8pSECSzxwjMoC81vRAZZu7JGmZY7qGDvwy34sNwlNldEWfBGMdiLgozRLzAXu6z2dMsWjqtcOBtg9ZlGW0VOR9h/NGAOYAHISANI.jpg)
NGAO YA JAMII NI KISASI TU
9 years ago
Habarileo19 Aug
Homa ya Ngao ya Jamii yapanda
HOMA ya pambano la ngao ya jamii zimezidi kupanda baada ya Yanga na Azam kurejea Dar es Salaam tayari kwa mechi hiyo itakayochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Coutinho kuikosa Ngao ya Jamii
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnX4zS3baqSKld4P903Z2DGdBOiTBBA5-kROyijxUhWUNBTsh9xtip6XcsxHR6iauwnB-opIC4pKr2C6TWOibO8r/arsenal.jpg)
ARSENAL BINGWA NGAO YA JAMII
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Ubora wanogesha Ngao ya Jamii