Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga Mfalme Ngao ya Jamii

Mbinu za mifumo na tambo za makocha Hans Pluijm na Stewart Hall vilishindwa kutoa mshindi ndani ya dakika 90 za mechi ya Ngao ya Jamii, ambayo Yanga iliitwaa kwa kulipa kisasi kwa Azam kwa mikwaju ya penalti 8-7.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA YAICHAPA AZAM 3-0, YATWAA NGAO YA JAMII

KIKOSI cha Yanga SC kimetwaa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa timu ya Azam FC mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi punde. Mabao ya Yanga yamefungwa na Geilson Santos 'Jaja' dakika ya 56 na 66 huku bao la tatu likiwekwa kimiani na Simon Msuva dakika ya 87 ya mchezo. Hii ni mara ya pili Yanga kuifunga Azam katika mechi za Ngao ya Jamii baada ya msimu uliopita watoto wa Jangwani kuibuka na...

 

10 years ago

Michuzi

KIINGILIO KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII KATI YA AZAM NA YANGA NI BUKU 5 TU!

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi kati ya Azam na Yanga itakayochezwa Jumapili (Septemba 14 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 5,000.
Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni, na kiingilio hicho cha sh. 5,000 ni kwa viti vya rangi ya kijani na bluu vitakavyochukua jumla ya watazamaji 36,000 katika uwanja huo wenye viti 57,558.
Viingilio vingine katika mechi hiyo ambayo itatumia tiketi za elektroniki ni sh. 10,000 kwa viti vya...

 

9 years ago

GPL

NGAO YA JAMII NI KISASI TU

URUDANI nyingine itakuwepo leo Jumamosi jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambapo Yanga itacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC kukaribisha msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2015/16. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1NLO9Ng

 

9 years ago

Habarileo

Homa ya Ngao ya Jamii yapanda

HOMA ya pambano la ngao ya jamii zimezidi kupanda baada ya Yanga na Azam kurejea Dar es Salaam tayari kwa mechi hiyo itakayochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Ubora wanogesha Ngao ya Jamii

Ubora wa Azam na Yanga unalifanya pambano baina yao Jumamosi ligeuke gumzo mitaani kwa sasa.

 

11 years ago

GPL

ARSENAL BINGWA NGAO YA JAMII

Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0. Santi Carzola akishangilia bao lake la kwanza kwa Arsenal.…

 

10 years ago

Mwananchi

Coutinho kuikosa Ngao ya Jamii

Kuelekea pambano la Ngao ya Jamii, kiungo mpya wa Yanga, Andrey Coutinho na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco watakosa mechi hiyo itakayopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 

 

9 years ago

Mtanzania

Lazima wakae Ngao ya Jamii

WAKISHANGILIA GORI (4)Wachezaji wakishangilia baada ya mchezoNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

LAZIMA wakae! Hizo ndizo tambo za mashabiki, makocha wa timu za Azam na Yanga kuelekea mchezo wao wa kuwania Ngao ya Jamii utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam saa 10.00 leo jioni.

Mchezo huo wa aina yake ni kwa ajili ya kufungua pazia la Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2015/16, utakaoanza rasmi Septemba 12, mwaka huu.

Kocha Mkuu wa Azam, Mwingereza Stewart Hall, amesema kuwa anataka kuendeleza rekodi yake ya kutwaa mataji mfululizo kwa kuifunga Yanga...

 

9 years ago

Habarileo

Azam TV kuonesha mechi Ngao ya Jamii kesho

TELEVISHENI ya Azam ambayo ni mahiri kwa burudani itaonesha pambano la kukata na shoka la Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Azam FC litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani