Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kunyakua kombe leo Taifa?

Yanga inashuka kwenye Uwanja wa Taifa leo jijini hapa ikisaka pointi tatu dhidi ya Polisi Moro zitakazowafanya kufikisha pointi 55 ambazo hazitaweza kufikiwa na mabingwa watetezi Azam FC wenye pointi 45 katika nafasi ya pili.
Katibu Mkuu wa Yanga, Dk. Jonas Tiboroha alisema kuwa wameandaa champagne na jezi za kutosha kwa ajili ya kusherehesha ubingwa huo kama watautwaa leo.

“Tunajua umuhimu wa mchezo huo (Polisi Moro) ambao utakuwa mgumu kutokana na wapinzani wetu kuwa kwenye hatari ya...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

AZAM NA YANGA TAIFA LEO KOMBE LA NGAO


Mpaka sasa ni 0-0 mpira ni mapumziko
Washambuliaji wa Yanga Saimon Msuva, Donald Ngoma raia wa Botoswana na Vicent Bossou raia wa Mali wanaitetekisha ngome ya Azam kila Mara kutokana na mashambulizi ya Mara Kwa Mara kutoka Kwa winga wao Kijana mdogo Geofrey Mwashiuya. Yanga kipindi cha kwanza walitoa mashambulizi kutoka upande wa Kusin kenda kaskazini kipindi cha pili Yanga watatoa mashambulizi kutoka kaskazini kwenda Kusin, historian ya uwanja huu wa Taifa goli la upande wa kusini uwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MSUVA APIGA HAT TRICK YANGA IKIIADHIBU TAIFA 4-0 KOMBE LA MAPINDUZI

Simon Msuva amefunga mabao matatu na kupika moja, Yanga SC ikiifumua mabao 4-0 Taifa ya Jang’ombe katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi, uliofanyika Uwanja wa Amaan usiku huu. Kazi nzuri iliyofanywa na Winga machachari wa Yanga Simon Msuva, imeiwezesha timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya timu ya Taifa Jang'ombe katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Aman Mjini Zanzibar. Mabao matatu kati ya manne yalifungwa na Simon Msuva katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Shirikisho:Yanga dimbani leo

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Yanga watawakabili BDF XI huko Gaborone, Botswana

 

10 years ago

GPL

SIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA

Emmanuel Okwi wa Simba (kulia) akikwatuliwa na beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' katika mechi baina ya timu hizo leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Okwi. Abdi Banda wa Simba (kulia) akiondoka na mpira huku akikabwa na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga.…

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga kuivaa Thika United Taifa leo

Kikosi cha Yanga

Kikosi cha Yanga

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya Yanga leo kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Thika United ya Kenya katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Yanga, iliyoweka kambi visiwani Zanzibar, ilirejea Dar es Salaam baada ya kucheza mechi tatu kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.

Kabla ya kuanza kwa ligi hiyo, Yanga watamenyana na mabingwa watetezi wa ligi hiyo, timu ya Azam FC, katika mchezo wa Ngao ya...

 

11 years ago

GPL

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM UWANJA WA TAIFA LEO

Patashika langoni mwa Yanga SC. ...Wanaume kazini. Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao kwa kucheza…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA, NDANDA ZATOKA SULUHU UWANJA WA TAIFA LEO

 Beki Hasifiwi: Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiruka juu kuondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwao katika mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Beki wa timu ya Yanga,Rajab Zahir akiwania mpira na Jacob Massawe wa Ndanda. Nadir Haroub wa Yanga akijaribu kuondosha hatari ilikuwa langoni kwake. Dan Mrwanda wa Yanga akitafuta namna ya kumtoka beki wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani