MSUVA APIGA HAT TRICK YANGA IKIIADHIBU TAIFA 4-0 KOMBE LA MAPINDUZI
Simon Msuva amefunga mabao matatu na kupika moja, Yanga SC ikiifumua mabao 4-0 Taifa ya Jang’ombe katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi, uliofanyika Uwanja wa Amaan usiku huu. Kazi nzuri iliyofanywa na Winga machachari wa Yanga Simon Msuva, imeiwezesha timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya timu ya Taifa Jang'ombe katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Aman Mjini Zanzibar. Mabao matatu kati ya manne yalifungwa na Simon Msuva katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
URENO CHALI, YAPIGWA 4-0 NA UJERUMANI, MULLER APIGA HAT-TRICK
10 years ago
GPL
EPL: SADIO MANE APIGA HAT-TRICK KWA DAKIKA TATU, AWEKA REKODI
10 years ago
BBC
Record hat-trick is 'best moment'
11 years ago
GPL
ARSENAL YAUA, WELBECK AGONGA HAT-TRICK
11 years ago
TheCitizen16 Oct
Eaton chases hat-trick at Uganda Open
10 years ago
BBC
Drogba nets hat-trick on full debut
10 years ago
TheCitizen21 Sep
Kiiza hits hat-trick as Simba win 3-1
11 years ago
BBC
Jordan Ayew hat-trick inspires Ghana