Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EPL: SADIO MANE APIGA HAT-TRICK KWA DAKIKA TATU, AWEKA REKODI

Mshambuliaji wa Southampton na raia wa Senegal, Sadio Mane (kushoto) akifunga bao lake la kwanza dakika ya 12 kipindi cha kwanza dhidi ya Aston Villa leo katika Uwanja wa St. Mary's Stadium.
...Mane akifunga bao lake la pili dakika ya 13 kipindi cha kwanza.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Alexis Sanchez aweka rekodi ya kufunga Hat-trick katika ligi tatu tofauti

Mshambuliaji Alexis Sanchez wa Arsenal ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kupiga hat-trick katika ligi kuu tatu tofauti duniani, Serie A, La Liga na EPL. Hat-trick yake ya kwanza ilikuwa wakati anaichezea Udenise ya Italia ambapo waliifunga Palermo mabao 7-0 katika mchezo wa ligi kuu soka nchini Italia mwaka 2011. Hat-trick ya pili ameipata […]

 

11 years ago

GPL

URENO CHALI, YAPIGWA 4-0 NA UJERUMANI, MULLER APIGA HAT-TRICK

Furaha ya ushindi: Wachezaji wa Ujerumani wakifurahia ushindi dhidi ya Ureno. Ndoo: Pepe akimpiga kichwa Thomas Muller aliyekuwa chini.…

 

10 years ago

Vijimambo

MSUVA APIGA HAT TRICK YANGA IKIIADHIBU TAIFA 4-0 KOMBE LA MAPINDUZI

Simon Msuva amefunga mabao matatu na kupika moja, Yanga SC ikiifumua mabao 4-0 Taifa ya Jang’ombe katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi, uliofanyika Uwanja wa Amaan usiku huu. Kazi nzuri iliyofanywa na Winga machachari wa Yanga Simon Msuva, imeiwezesha timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya timu ya Taifa Jang'ombe katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Aman Mjini Zanzibar. Mabao matatu kati ya manne yalifungwa na Simon Msuva katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Neymar, Sterling, Kruse watikisa kwa ‘hat trick’

neymar-jrCATALOUNIA, HISPANIA

NYOTA wa timu ya Barcelona, Neymar Jr, juzi aliifungia mabao manne timu yake wakati ikiilaza Rayo Vallecano
mabao 5-2 na kulingana pointi na vinara wa Ligi Kuu Hispania, Real Madrid.

Wakati Neymar akifunga ‘hat trick’ ya kwanza msimu huu, akilingana na mchezaji mwingine wa Ligi Kuu England, Raheem Sterling, aliyefunga mabao matatu Manchester City ikishinda mabao 5-1.

Pia kwenye Ligi Kuu Ujerumani (Bundersliga), mshambuliaji wa Wolfsburg Max Kruse, naye alifunga ‘hat...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sadio Mane aachwa nje kwa kuchelewa

Meneja wa Southampton Ronald Koeman amesema alimuweka Sadio Mane kwenye benchi kwa sababu ya kuchelewa kufika kikao cha kabla ya mechi.

 

10 years ago

BBC

Record hat-trick is 'best moment'

Southampton's Senegalese winger Sadio Mane describes the fastest hat-trick in Premier League history as his "best moment in football".

 

11 years ago

GPL

EL CLASICO: LIONEL MESSI APELEKA VILIO KWA WAPENZI WA REAL MADRID BAADA YA KUTUPIA 'HAT-TRICK'

Lionel Messi (kushoto) akishangilia bao lake la tatu na wachezaji wenzake Gerard Pique (katikati) na Alexis Sanchez. Karim Benzema akishangilia na wachezaji wenzake wa Madrid Angel Di Maria na Marcelo baada ya kufunga bao la pili.…

 

9 years ago

TheCitizen

Kiiza hits hat-trick as Simba win 3-1

Ugandan striker Hamis Kiiza scored a hat-trick to enable Simba Sports Club to beat Kagera Sugar 3-1 in the Mainland Vodacom Premier League match at the National Stadium in Dar es Salaam yesterday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani