Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA DIMBANI LEO DHIDI YA ANKARA SEKER SPOR

Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Yanga leo wanacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya timu daraja la kwanza ya Ankara Seker Spor, Mechi hiyo itachezwa saa 9.00 za Tanzania kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mashindano wa kimataifa wa Yanga, Seif “Magari” Ahmed amesema Ahmed alisema kuwa wachezaji wanaendelea vizuri na mpaka sasa wamepania kufanya vyema katika mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua.Alisema kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Shirikisho:Yanga dimbani leo

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Yanga watawakabili BDF XI huko Gaborone, Botswana

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga kuivaa Ankara SekerSpor

Dar es Salaam. Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga leo wanacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya timu daraja la kwanza ya Ankara Seker Spor, huku uongozi wa timu hiyo ukiweka bayana jina la kocha mkuu leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga dimbani Taifa Oktoba 12

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania (Bara), huku Simba na Yanga zikipangwa kukutana Oktoba 12 katika pambamo litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

MillardAyo

Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz)

Jumatatu ya January 4 ni siku ambayo Kombe la Mapinduzi liliendelea tena kwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kuchezwa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Huu ulikuwa ni mchezo wa tatu wa mashindano na wa kwanza kwa Kundi A ambalo lina timu za Simba, Jamuhuri, JKU na URA ya Uganda. Hivyo timu ya URA dhidi […]

The post Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Habarileo

Stars kushuka dimbani leo

TIMU ya soka ya taifa, Taifa Stars leo inatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya vijana ya Afrika Kusini chini ya umri wa miaka 23 ‘Amaglug- glug’ na kocha Charles Mkwasa amesema ana imani mechi hiyo itakuwa kipimo kikubwa kwa timu yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kivumbi leo AFCON,Wababe dimbani

Tembo wa Ivory Cost na Tembo wa Taifa wa Guinea,Mali na Cameroon kuvaana leo

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahariri, Waandishi Mtwara dimbani leo

KLABU ya Waandishi wa Habari Mtwara (MTPC), juzi imekabidhiwa jezi na mpira kwa ajili ya mechi ya kirafiki kati ya Jukwaa la Wahariri na  wanahabari wa Mtwara, mechi itakayochezwa leo...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba, Gor Mahia dimbani leo

Simba inashuka uwanjani leo kuikabili Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku ikiwakosa wachezaji wake sita walio katika vikosi vya timu za Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani