Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars kushuka dimbani leo

TIMU ya soka ya taifa, Taifa Stars leo inatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya vijana ya Afrika Kusini chini ya umri wa miaka 23 ‘Amaglug- glug’ na kocha Charles Mkwasa amesema ana imani mechi hiyo itakuwa kipimo kikubwa kwa timu yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rangers kushuka dimbani kesho

LIGI Daraja la kwanza inaendelea kesho kwa michezo miwili huku timu ya Friends Rangers (pichani) ya Dar es salaam ikishuka kwenye Uwanja wa mabatini Mlandizi kuvaana na timu ya KMC.
Ofisa Habari wa klabu ya Friends Rangers, Asha Kigundula, alisema kuwa wanatambua ugumu wa mechi hiyo lakini lengo lao ni kushinda na kupata pointi tatu.Kigundula alisema anatambua kama wapinzani wao wamejipanga kushinda, lakini nao wapo kwa lengo la kufanya vizuri na kuondoka na pointi tatu.Alisema wao hawajataka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi ya England timu 20 kushuka dimbani

Jumla ya timu 20 zinazoshiriki ligi ya England zinatarajiwa kushuka dimbani mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Chelsea, Man Utd kushuka dimbani EPL

Ligi Kuu ya Uingereza itarejelewa leo kwa mechi saba, Chelsea na Manchester United zikiwa miongoni mwa klabu zitakazocheza nyumbani.

 

9 years ago

MillardAyo

Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz)

Jumatatu ya January 4 ni siku ambayo Kombe la Mapinduzi liliendelea tena kwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kuchezwa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Huu ulikuwa ni mchezo wa tatu wa mashindano na wa kwanza kwa Kundi A ambalo lina timu za Simba, Jamuhuri, JKU na URA ya Uganda. Hivyo timu ya URA dhidi […]

The post Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Shirikisho:Yanga dimbani leo

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Yanga watawakabili BDF XI huko Gaborone, Botswana

 

10 years ago

BBCSwahili

Kivumbi leo AFCON,Wababe dimbani

Tembo wa Ivory Cost na Tembo wa Taifa wa Guinea,Mali na Cameroon kuvaana leo

 

10 years ago

Mwananchi

Simba, Gor Mahia dimbani leo

Simba inashuka uwanjani leo kuikabili Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku ikiwakosa wachezaji wake sita walio katika vikosi vya timu za Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba dimbani leo, City yatulizwa

Baada ya kupokea vipigo wiki iliyopita, Simba na Ruvu Shoooting leo zinakutana katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahariri, Waandishi Mtwara dimbani leo

KLABU ya Waandishi wa Habari Mtwara (MTPC), juzi imekabidhiwa jezi na mpira kwa ajili ya mechi ya kirafiki kati ya Jukwaa la Wahariri na  wanahabari wa Mtwara, mechi itakayochezwa leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani