Yanga kuivaa Ankara SekerSpor
Dar es Salaam. Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga leo wanacheza mechi yao ya kwanza dhidi ya timu daraja la kwanza ya Ankara Seker Spor, huku uongozi wa timu hiyo ukiweka bayana jina la kocha mkuu leo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLFT:YOUNG AFRICANS 3, ANKARA SEKERSPOR 0
11 years ago
GPLYANGA DIMBANI LEO DHIDI YA ANKARA SEKER SPOR
10 years ago
Michuzi
YANGA KUIVAA SC VILLA JUNI 27

Na Mwandishi wetu. MABINGWA wa soka wa Tanzania Bara, Yanga, Juni 27, mwaka huu wanatarajia kuvaana na SC Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ukiwa na lengo la kukusanya fedha za kujengea kituo cha watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na walemavu wa ngozi, yaani albino.
Akizungumza Dar es Salaam jana katika ukumbi wa makao makuu ya Yanga yaliyopo Jangwani, jijini, Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Jonas Tiboroha, alisema kuwa...
11 years ago
Vijimambo20 Sep
YANGA KUIVAA MTIBWA KESHO

Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimbani kucheza mchezo wa ufunguzi wa VPL 2014/2015 dhidi ya timu ya wakata miwa wa Mtibwa Sugar kutoka manungu Turinani, mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Uwnaja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kikosi cha Young Africans kimewasili salama leo mchana mjini Morogoro kwa Bus la klabu na kufikia...
10 years ago
Vijimambo06 Apr
Yanga kuivaa Etoile Afrika

Wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa, timu ya Yanga, itacheza dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia katika hatua ya 16-Bora ya Kombe la Shirikisho Afrika, imefahamika.
Yanga itaikabili Etoile baada ya miamba hao wa Tunisia kulazimisha sare ya 1-1 ugenini Angola dhidi ya Benfica jana na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 kufuatia ushindi wa 1-0 katika mechi yao ya kwanza.
Yanga watacheza dhidi ya...
11 years ago
GPL
YANGA KAMILI KUIVAA AL AHLY KESHO
11 years ago
Mtanzania03 Sep
Yanga kuivaa Thika United Taifa leo

Kikosi cha Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha timu ya Yanga leo kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Thika United ya Kenya katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Yanga, iliyoweka kambi visiwani Zanzibar, ilirejea Dar es Salaam baada ya kucheza mechi tatu kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.
Kabla ya kuanza kwa ligi hiyo, Yanga watamenyana na mabingwa watetezi wa ligi hiyo, timu ya Azam FC, katika mchezo wa Ngao ya...
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Simba haijapata kikosi cha kuivaa Yanga