Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kopunovic ateta na Okwi aiangamize Yanga

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic Na Timu ya Championi,Dar es Salaam Katika mazoezi yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar, Kopunovic alionekana akifanya vikao zaidi ya mara tatu na mshambuliaji wa timu hiyo Emmanuel Okwi wakati mazoezi yakiendelea huku akionekana kumsisitiza jambo fulani. Waamuzi
Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi wa kati, Martin Saanya kutoka Morogoro, namba moja ni Soud Lila (DSM), namba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Kopunovic aiwahi Yanga Tanga

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic. Na John Joseph
YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani leo pale Mkwakwani mkoani Tanga, kukipiga dhidi ya Coastal Union, lakini upande wa pili ni kuwa makocha wa Simba, Goran Kopunovic na msaidizi wake, Selamani Matola wanatarajiwa kuwa uwanjani hapo kuishuhudia mechi hiyo. Yanga itakuwa mgeni wa Coastal, katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara ikiwa inajiandaa kukipiga dhidi ya BDF ya Botswana, katika...

 

11 years ago

GPL

Okwi asaini Yanga SC

Na Khatimu Naheka
USAJILI wa kishindo, Yanga imefanya kufuru kwa kufunga dirisha dogo la usajili kwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi na ataanza kuichezea klabu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
Okwi, ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, amesaini kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu na Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa) limemuidhinisha rasmi kuwa...

 

11 years ago

GPL

OKWI ATUA YANGA SC

Emmanuel Okwi. Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi kutoka klabu ya SC Villa. Habari za uhakika ambazo mtandao huu imezipata ni kwamba Yanga wamelipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 kama ada ya uhamisho na kumsainisha Okwi mkataba wa miaka miwili. Okwi anatarajia kuwasili nchini hivi karibu akitokea Uganda, ameiomba Yanga abaki nchini Uganda kumalizia...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga kumshtaki Okwi

Uongozi wa Yanga umedai kuwa utamshtaki kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), mshambuliaji wao, Emmanuel Okwi iwapo hatajisalimisha hadi ifikapo Agosti 4.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Okwi aituliza Yanga



NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na  Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya  vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...

 

11 years ago

GPL

Okwi ayeyuka Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. John Joseph na Sweetbert Lukonge
SAKATA la mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi kudaiwa kususia mazoezi, sasa limeendelea mbele zaidi ya ilivyoelezwa awali. Habari mpya ni kuwa Okwi, raia wa Uganda, amegoma kabisa hata kujiunga na wenzake walioweka kambi Bagamoyo na siyo kususia mazoezi pekee, kisa kikiwa ni kutaka kumaliziwa fedha zake za usajili ambazo inadaiwa bado anadai. Kutokana na...

 

10 years ago

GPL

Yanga yamfungulia kesi Okwi

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Arnold Okwi. Na Saleh Ally
UNAWEZA kusema kumekucha baada ya Yanga kufikia uamuzi wa kumfungulia mashitaka mshambuliaji wake Emmanuel Arnold Okwi wakitaka afungiwe kucheza soka. Yanga imefikia uamuzi huo baada ya kuonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Okwi raia wa Uganda ambaye hata hivyo ameishatua nchini akisubiri kujiunga na kikosi cha Yanga ambacho kipo kambini mjini Zanzibar. Barua ya Yanga...

 

11 years ago

GPL

Fifa: Okwi rukusa Yanga

Na Waandishi Wetu
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limesema mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kujiunga na timu yoyote inayomhitaji. Baadhi ya viongozi wa Kamati ya Usajili wa Yanga, wakiongozana na Emmanuel Okwi mara baada ya kuwasiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambapo alipitia katika mlango wa watu maarufu 'VIP'. Okwi aliyekuwa mchezaji kipenzi cha Simba kabla kuuzwa Etoile du Sahel,...

 

11 years ago

GPL

USAJILI WA OKWI YANGA WAZUIWA

Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda katika timu ya Yanga wakati likisubiri ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF iliyokutana leo (Januari 22 mwaka huu) kupitia masuala mbalimbali, imesimamisha usajili huo baada ya kubaini kuwa Okwi aliruhusiwa kuichezea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani