Kocha Simba aipigia dua mechi ya Yanga na Azam FC
![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WXsh-Hs3C8k9kddxygIwBBISjSaJowi2e7b9IWwyC8joxBKGK3haUNKc8PjhsYWiNgyXNyQ4Tu0Pkxqzq3MObZ/kocha.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Hans Mloli KILA shabiki anaitakia ushindi timu yake kwenye mtanange wa Yanga dhidi ya Azam leo, lakini Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema anaomba mechi hiyo iishe kwa sare. Loga ambaye timu yake inashika nafasi ya nne ikiwa na pointi 36, anaamini sare tu ndiyo inaweza kuipa ahueni ya kutwaa ubingwa msimu huu. Akifafanua kauli yake hiyo, alisema kwamba timu hizo zikitoka...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Kerr aziombea dua mbaya Yanga, Azam
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
11 years ago
GPLMECHI YA AZAM, SIMBA YAINGIZA MIL 26/-
9 years ago
Habarileo15 Dec
Sare na Simba yamshtua Kocha Azam
KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amesema atahakikisha anafanyia kazi safu ya ulinzi ili makosa yaliyojitokeza katika mechi dhidi ya Simba yasijirudie mchezo ujao. Vinara hao wa Ligi Kuu walilazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambapo matokeo hayo yaliendelea kuwabakiza kileleni wakiwa na pointi 26.
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Kocha Simba aiga mbinu za Azam