Kerr aziombea dua mbaya Yanga, Azam
Adui yako mwombee njaa! Ndivyo ilivyo kwa kocha wa Simba, Dylan Kerr aliposhangilia sare ya 1-1 baina ya Yanga na Azam juzi akisema imenogesha mbio zake kusaka ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Aug
Yanga, Azam hazinisumbui -Kerr
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesema ameziona Yanga na Azam na anahisi kwake hazitamsumbua katika ligi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WXsh-Hs3C8k9kddxygIwBBISjSaJowi2e7b9IWwyC8joxBKGK3haUNKc8PjhsYWiNgyXNyQ4Tu0Pkxqzq3MObZ/kocha.jpg?width=650)
Kocha Simba aipigia dua mechi ya Yanga na Azam FC
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Sitta aiombea Ukawa dua mbaya
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Maregesi Paul, Dodoma
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amesema wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni sawa na waigizaji wa nchini Marekani.
Amesema ushahidi wa uigizaji huo utadhihirika mwakani baada ya kushindwa kwao katika uchaguzi mkuu wa kumchagua rais, wabunge na madiwani.
Sitta alitoa kauli hiyo yenye kila dalili za kuwaombea anguko kubwa wanasiasa wa...
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Ni mtihani wa Kerr kwa Azam
MSHAMU NGOJWIKE
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, leo atakuwa na mtihani mgumu wakati timu yake itakapokabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hata hivyo, Kerr mwenyewe ameingiwa na wasiwasi ambapo amesema Azam FC ni timu nzuri, lakini atahakikisha timu yake inapata ushindi kwenye mchezo huo.
Simba imerejea juzi ikitokea Zanzibar ilipoweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na ligi hiyo na jana ilifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa...
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Kerr hawazi chochote ni Azam
KOCHA Mkuu wa klabu ya Simba, Dylan Kerr, amesema kuwa kwa sasa akili yake ameielekeza kwenye mchezo wao dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Desemba 12, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kabla ya kusimama kwa ligi kuu, Kerr alishuhudia dakika 90 za mchezo kati ya Azam na Toto Africa katika Uwanja wa Chamazi, ambapo vinara hao wa ligi kuu waliibuka na ushindi wa mabao 5-0.
Katika mchezo huo, Kerr aliisifia Azam, akidai kuwa kwa mchezo wanaouonyesha wanastahili kuwa katika nafasi...
9 years ago
Habarileo14 Dec
Bahati yao Azam -Kerr
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr amesema Azam walikuwa na bahati juzi ndio maana hawakuwafunga. Timu hizo zilicheza mechi ya Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kutoka sare ya mabao 2-2.
9 years ago
TheCitizen08 Dec
Kerr upbeat as Azam clash looms
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Yanga yaombewa dua
9 years ago
Habarileo22 Sep
Kerr atamba Yanga hawatachomoka
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema amefurahishwa na matokeo mazuri katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar na kutuma salamu Yanga kuwa anaifahamu hivyo hawatachomoka katika mchezo ujao.