Kerr hawazi chochote ni Azam
KOCHA Mkuu wa klabu ya Simba, Dylan Kerr, amesema kuwa kwa sasa akili yake ameielekeza kwenye mchezo wao dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Desemba 12, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kabla ya kusimama kwa ligi kuu, Kerr alishuhudia dakika 90 za mchezo kati ya Azam na Toto Africa katika Uwanja wa Chamazi, ambapo vinara hao wa ligi kuu waliibuka na ushindi wa mabao 5-0.
Katika mchezo huo, Kerr aliisifia Azam, akidai kuwa kwa mchezo wanaouonyesha wanastahili kuwa katika nafasi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Aug
Yanga, Azam hazinisumbui -Kerr
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesema ameziona Yanga na Azam na anahisi kwake hazitamsumbua katika ligi.
9 years ago
Habarileo14 Dec
Bahati yao Azam -Kerr
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr amesema Azam walikuwa na bahati juzi ndio maana hawakuwafunga. Timu hizo zilicheza mechi ya Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kutoka sare ya mabao 2-2.
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Ni mtihani wa Kerr kwa Azam
MSHAMU NGOJWIKE
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, leo atakuwa na mtihani mgumu wakati timu yake itakapokabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hata hivyo, Kerr mwenyewe ameingiwa na wasiwasi ambapo amesema Azam FC ni timu nzuri, lakini atahakikisha timu yake inapata ushindi kwenye mchezo huo.
Simba imerejea juzi ikitokea Zanzibar ilipoweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na ligi hiyo na jana ilifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa...
9 years ago
TheCitizen08 Dec
Kerr upbeat as Azam clash looms
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Kerr aziombea dua mbaya Yanga, Azam
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Keissy: Sitachangia chochote bungeni
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Niyonzima: Sitailipa Yanga chochote
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
* Adaiwa sh. milioni 152 kwa kukiuka masharti ya mkataba wake
MCHEZAJI Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake umevunjwa na klabu yake ya Yanga kwa kile kilichodaiwa kuchoshwa na tabia zake, amedai kuwa hatalipa kiasi cha Dola 71,175 (sawa na Sh milioni 152) kwani suala hilo halipo kwenye mkataba.
Uongozi wa Yanga jana ulitangaza kuvunja mkataba wa mchezaji huyo mahiri wa nafasi ya kiungo, lakini mbali na uamuzi huo klabu hiyo pia ilimtaka mchezaji huyo kuilipa...
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Aveva: Logarusic hatudai chochote
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Dk Salim: Chama chochote kinaweza kushika dola