Aveva: Logarusic hatudai chochote
Rais wa Simba, Evance Aveva amesema hawadaiwi chochote na aliyekuwa kocha wao Zdravko Logarusic anashangazwa na mashtaka aliyopeleka kwenye Shirikisho la Soka Nchini (TFF).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Kerr hawazi chochote ni Azam
KOCHA Mkuu wa klabu ya Simba, Dylan Kerr, amesema kuwa kwa sasa akili yake ameielekeza kwenye mchezo wao dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Desemba 12, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kabla ya kusimama kwa ligi kuu, Kerr alishuhudia dakika 90 za mchezo kati ya Azam na Toto Africa katika Uwanja wa Chamazi, ambapo vinara hao wa ligi kuu waliibuka na ushindi wa mabao 5-0.
Katika mchezo huo, Kerr aliisifia Azam, akidai kuwa kwa mchezo wanaouonyesha wanastahili kuwa katika nafasi...
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Niyonzima: Sitailipa Yanga chochote
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
* Adaiwa sh. milioni 152 kwa kukiuka masharti ya mkataba wake
MCHEZAJI Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake umevunjwa na klabu yake ya Yanga kwa kile kilichodaiwa kuchoshwa na tabia zake, amedai kuwa hatalipa kiasi cha Dola 71,175 (sawa na Sh milioni 152) kwani suala hilo halipo kwenye mkataba.
Uongozi wa Yanga jana ulitangaza kuvunja mkataba wa mchezaji huyo mahiri wa nafasi ya kiungo, lakini mbali na uamuzi huo klabu hiyo pia ilimtaka mchezaji huyo kuilipa...
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Keissy: Sitachangia chochote bungeni
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Vanessa: ‘Team’ hazisaidii chochote kwenye sanaa
NA JENNIFER ULLEMBO
KUFUATIA malumbano ya ‘team’ kwa wasanii wenye ugomvi, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Vanessa Mdee ‘V Money’ ameibuka na kukemea makundi hayo akidai hayana faida yoyote kwa jamii na kwa sanaa za wasanii husika.
Alisema makundi hayo yanaharibu sifa ya msanii, kazi zake na yanaongeza chuki badala ya kuleta furaha na mafanikio ya msanii.
“Kama mashabiki wanapenda kazi zangu waendelee kunipenda na waonyeshe ushirikiano nami kwa wasanii wengine, lakini masuala ya timu, timu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PJDd82188WmOUiLunRoZXHeznF4*ZRveHp8Xefn0sERN1ORPZTnxlE4b7xaqVIlONZ4y38IHUOQm81jspjoAKjT/GLOBAL2.jpg?width=750)
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Dk Salim: Chama chochote kinaweza kushika dola
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Zitto: ACT hatuna uadui na chama chochote
NA AGATHA CHARLES
KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT- Tanzania Zitto Kabwe amesema hawana uadui na chama chochote, bali tatizo ni mfumo uliopo.
Zitto aliyasema hayo jana katika ukumbi wa St. Peter’s Cardinal Rugambwa Osterbay Dar es Salaam, baada ya kumalizika kutangazwa matokeo ya nafasi za juu za uongozi ndani ya chama hicho.
Alisema wanachama na viongozi wa ACT wanapaswa kuingia msituni na kufyeka kwa ajili ya kukijenga chama hicho na si kupoteza muda kwa kugombana na wengine.
“Hatuna uadui...
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Kane hauzwi kwa kiasi chochote – Pochettino
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochettino (pichani) amesema timu yake haipo tayari kumuuza mshambuliaji wa klabu hiyo, Harry Kane kwa kiasi chochote ambacho kitawekwa mezani kwa ajili ya kupata saini ya mchezaji huyo.
Kane ambaye aliifungia Tottenham magoli mawili katika mchezo wa jumamosi dhidi ya Norwich amekuwa akionekana kuhitajika na baadhi vilabu ikiwemo Manchester United lakini Pottechino amesema mchezaji huyo hataondoka klabuni hapo na ataendelea...
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Tunahitaji mabalozi kuliko kipindi chochote kile