Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa: ‘Team’ hazisaidii chochote kwenye sanaa

VanessaNA JENNIFER ULLEMBO
KUFUATIA malumbano ya ‘team’ kwa wasanii wenye ugomvi, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Vanessa Mdee ‘V Money’ ameibuka na kukemea makundi hayo akidai hayana faida yoyote kwa jamii na kwa sanaa za wasanii husika.
Alisema makundi hayo yanaharibu sifa ya msanii, kazi zake na yanaongeza chuki badala ya kuleta furaha na mafanikio ya msanii.
“Kama mashabiki wanapenda kazi zangu waendelee kunipenda na waonyeshe ushirikiano nami kwa wasanii wengine, lakini masuala ya timu, timu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shule bila viwango hazisaidii watoto kufanikiwa

Falsafa za elimu na maendeleo hujengwa kwanza kwenye fikra, dira, malengo na utashi wa kuamua kwa matendo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hemedy PHD Akerwa na Uadui Kwenye Sanaa

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Hemmed Suleiman  ‘Hemedy PHD’ambaye hivi karibuni atatamba  mtaani na filamu ya Fecebook Profile ameweka waz juu ya kukerwa na namna ushabiki  wa sanaa nchini unavyopelekwa kwenye uadui na sio ushindani  kam ilivyokuwa miaka michache iliyopita.

“Kiukweli kwenye sanaa tumeanza kwenda kwenye njia mbaya sana,aina hii ya ushabiki wa mtindo wa uadui itatupeleka pabaya sana..Mashabiki wa Ali Kiba , Wema sepetu na Diamond  wanapaswa kuliona mapema tatizo hili,”...

 

9 years ago

GPL

DUDE; USIINGIZE SANAA KWENYE NDOA YAKO

KWAKO Kulwa Kikumba ‘Dude’. Habari za siku ndugu yangu. Kitambo kidogo hatujaonana ana kwa ana, labda kwa kuwa wote tupo bize na ndiyo maana leo nimekukumbuka kupitia barua. Ukitaka kujua afya yangu, mimi sijambo. Hofu na shaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Vipi wanao wote hawajambo? Shemeji je?
Dhumuni la barua hii ni kutaka kukueleza kwamba nimeona tatizo katika maisha yako ya kawaida....

 

10 years ago

GPL

MIAKA 10 KWENYE GEMU MZEE CHILO: SANAA HAILIPI!

UKIWATAJA wasanii wakongwe wa tasnia ya filamu wenye umri mkubwa na majina Bongo, hutakosa kumtaja nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo.’ Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo.’ Mkongwe huyu mwenye miaka 65 aliyejikita kwenye tasnia ya filamu tangu miaka 10 iliyopita na kujipatia umaarufu mkubwa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu iliyokuwa ikirushwa na kituo cha TBC...

 

10 years ago

Bongo Movies

Fatuma Makongoro (Bi Mwenda), Msanii aliyetukuka kwenye sanaa ya uigizaji Tanzania

Bi Mwenda ni mzaliwa wa Mara Wilaya ya Bunda kijiji cha Ikwizu Nyamuswa, ni mtoto wa Mtemi Makongoro, ambaye alikuwa rafiki na ndugu wa yamini na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anasema katika maisha yake wakati yupo darasa la tano mpaka anamaliza alikuwa akiishi Ikulu jijini Dar es Salaam, na alihamishiwa Shule ya Msingi Kinondoni iliyo karibu na Mahakama ya Kinondoni. Wakati huo wenzake walikuwa wakisoma Shule ya Mwenge na kupelekwa na gari.

Bi Mwenda, anasema alijiingiza kwenye michezo...

 

10 years ago

Michuzi

Warsha ya Sanaa na Harakati kwenye Jamii yaanza kufanyika jijini Dar es Salaam

Nafasi Art Space kwa kushirikiana na Tunawea leo wameendesha Warsha ya siku mbili ya Sanaa na Harakati iliyowakutanisha baadhi ya Wasanii, Waandishi wa Wanaharakati nchini Tanzania ambapo Mpiga picha na Mwanaharakati Boniface Mwangi kutoka Kenya ndio mwezeshaji katika warsha hiyo Mpiga picha na Mwanaharakati Boniface Mwangi kutoka Kenya, akizungumza na washiriki wa warsha hiyo Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia mada mbalimbali Mpiga picha na Mwanaharakati Boniface Mwangi kutoka...

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black

Juhudi za msanii wa kike wa Tanzania, Vanessa Mdee katika kujitangaza kimataifa zinazidi kuonekana, baada ya kuchukua tuzo ya AFRIMMA nchini Nigeria mwaka jana, sasa amepata nafasi ya kushiriki kwenye wimbo mmoja na staa wa Nigeria, Davido. Vannessa na Davido wameshirikishwa kwenye Remix ya wimbo wa msanii wa Ghana aitwaye D-Black. Wasanii wa nchi nyingine […]

 

10 years ago

GPL

WARSHA YA SANAA NA HARAKATI KWENYE JAMII YAANZA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM‏

 Mpiga picha na Mwanaharakati Boniface Mwangi kutoka Kenya, akizungumza na washiriki wa warsha hiyo.  Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia mada…

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee atua Lagos, kutumbuiza kwenye Gidi Culture Festival Jumamosi hii

Vanessa Mdee na Victoria Kimani ni wasanii pekee wa Afrika Mashariki walioalikwa kwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Gidi Culture Festival jijini Lagos, Nigeria. Tayari muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ amewasili jijini humo kuungana na wasanii wakubwa wa Nigeria kwenye show hiyo itakayofanyika Jumamosi hii. Tamasha hilo lililopewa jina la ‘Africa’s Biggest Beach Party litawakutanisha […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani