Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fatuma Makongoro (Bi Mwenda), Msanii aliyetukuka kwenye sanaa ya uigizaji Tanzania

Bi Mwenda ni mzaliwa wa Mara Wilaya ya Bunda kijiji cha Ikwizu Nyamuswa, ni mtoto wa Mtemi Makongoro, ambaye alikuwa rafiki na ndugu wa yamini na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anasema katika maisha yake wakati yupo darasa la tano mpaka anamaliza alikuwa akiishi Ikulu jijini Dar es Salaam, na alihamishiwa Shule ya Msingi Kinondoni iliyo karibu na Mahakama ya Kinondoni. Wakati huo wenzake walikuwa wakisoma Shule ya Mwenge na kupelekwa na gari.

Bi Mwenda, anasema alijiingiza kwenye michezo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Nora: Bongo Movies Wameshaharibu Sanaa ya Uigizaji Tanzania

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amedai kuwa ‘Bongo Movies’ wameharibu sanaa ya  uigizaji hapa Tanzania. Nora amefunguka hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni wakishuti movie.

"Naipenda kazi yangu na ninaiheshim sanaaaaa hii ndo sanaa ilionikuza mpaka leo na bado nakua nayo Mungu afungue heri zake lol tunajua kukomaaa ila nais Mungu ndo ameandika.

Nitatumia kipaji changu akili yangu kuwatumikia...

 

10 years ago

GPL

MASHIRIKISHO YA SANAA TANZANIA YAUNGA MKONO SIKU YA MSANII

Katibu wa Shirikisho la Sanaa na Maonyesho Tanzania, Godfrey Ndimbo akizungumza na wanahabari hawapo pichani. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Sanaa na Maonyesho Tanzania, Denis Mango, Katibu Godfrey Ndimbo, Peter Mwendapole na Mkurugenzi, Godfrey Katula wakiwa meza kuu.…

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NICE MOHAMED ‘MTUNISI’: Msanii aliyekacha kurusha ndege kwa kunogewa uigizaji

TASNIA ya filamu ni miongoni mwa sekta ambazo zimefanikiwa kutoa ajira nyingi kwa vijana wa Kitanzania katika miaka ya hivi karibuni, hali inayosaidia kupunguza tabia za vijana kukaa vijiweni. Hata...

 

10 years ago

Mwananchi

Nguvu ya sanaa inazidi msanii

Kama kuna eneo linaloweza kufukisha ujumbe kwa urahisi kwenye jamii, basi ni sanaa. Kwani kwa kupitia viunga vyake ujumbe hupenya kwa haraka zaidi kufika kule ulikokusudiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kioo cha jamii ni sanaa au msanii?

Kuna kipindi nilikuwa mbishi nikitaka kubadilisha nilichokikuta katika dunia, niliamini kabisa walichosema babu zangu ndiyo sahihi, bila kuupa ubongo wangu nafasi ya kufikiri. Leo nakiri kwamba kipind fulani nilikuwa mjinga.

 

10 years ago

Bongo5

Msanii wa Kenya adhamini mradi wa maji kwenye shule wenye thamani ya shilingi milioni 36 za Tanzania

Msanii wa muziki wa Kenya, Esther Akoth aka Akothee anafahamika kwa miradi yake ya kusaidia jamii. Akothee (katikati) akiwa na walimu wa shule ya sekondari ya St. Alberts Ulanda Girls iliyopo Migori, Kenya Hivi karibuni, Akothee amejitolea kudhamini mradi wa maji kwenye shule ya wasichana iliyopo kwenye kaunti ya Migori nchini Kenya. Shule hiyo iitwayo […]

 

10 years ago

Mwananchi

Bado nipo kisanaa, siasa ilinificha kwenye uigizaji

Mwanzoni mwa miaka ya 2000 sanaa ya uigizaji nchini ilionekana kuwa kivutio kikubwa kwa Watanzania kutokana na vipaji mbalimbali vilivyoonekana kupitia vipindi vya runinga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani