Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sare na Simba yamshtua Kocha Azam

KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amesema atahakikisha anafanyia kazi safu ya ulinzi ili makosa yaliyojitokeza katika mechi dhidi ya Simba yasijirudie mchezo ujao. Vinara hao wa Ligi Kuu walilazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambapo matokeo hayo yaliendelea kuwabakiza kileleni wakiwa na pointi 26.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Yanga, Simba, Azam zaambulia sare

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Azam jana walilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Simba katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba, KCC vitani leo .Azam yaua 2-0, Chuoni vs URA sare

c WEKUNDU wa Msimbazi, Simba baada ya juzi kuanza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga AFC Leopards ya Kenya kwa bao 1-0, leo inajitupa tena dimba la Amaan...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Simba aiga mbinu za Azam

Mafanikio ambayo klabu ya Azam imeyapata kwenye mashindano ya Kombe la Kagame mwezi uliopita kwa kucheza mechi sita bila kuruhusu bao, yameishawishi Simba kuiga mfumo huo.

 

11 years ago

GPL

Kocha Simba aipigia dua mechi ya Yanga na Azam FC

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Hans Mloli
KILA shabiki anaitakia ushindi timu yake kwenye mtanange wa Yanga dhidi ya Azam leo, lakini Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema anaomba mechi hiyo iishe kwa sare. Loga ambaye timu yake inashika nafasi ya nne ikiwa na pointi 36, anaamini sare tu ndiyo inaweza kuipa ahueni ya kutwaa ubingwa msimu huu. Akifafanua kauli yake hiyo, alisema kwamba timu hizo zikitoka...

 

10 years ago

Mtanzania

Kocha Nigeria afurahia sare na Stars

Pg 32*Akiri mambo yalikua magumu upande wao

*Mkwasa asema timu yake imekosa uzoefu tu

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, Sunday Oliseh, amefurahia matokeo ya suluhu katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania, akieleza wazi kuwa maji yalikua shingoni kwa upande wao.

Stars na Nigeria ambazo zimepangwa kundi G kwenye michuano hiyo, juzi zilitoshana nguvu na kuambulia pointi...

 

11 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Azam yatoka sare na Atlabara

Azam FC ya yatoka sare ya mabao 2 na Atlabara ya Sudan Kusini siku ya tano Kigali

 

9 years ago

BBCSwahili

Azam,Yanga sare Mapinduzi Cup.

Timu ya Yanga imetoshana nguvu na Azam FC, kufuatia sare ya bao 1-1 katika Mechi ya Kundi B la michuano ya Mapinduzi Cup 2016

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam ,Yanga na Mtibwa wakubali sare

Ligi kuu ya Tanzania imeingia kwenye mzunguko wa pili kwa kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali mwishoni mwa juma.

 

10 years ago

GPL

YANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwa kazini wakati wa mechi ya leo dhidi ya Azam FC. TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yamewekwa kimiani na Didier Kavumbagu katika dakika ya 5… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani