Kocha Nigeria afurahia sare na Stars
*Akiri mambo yalikua magumu upande wao
*Mkwasa asema timu yake imekosa uzoefu tu
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, Sunday Oliseh, amefurahia matokeo ya suluhu katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania, akieleza wazi kuwa maji yalikua shingoni kwa upande wao.
Stars na Nigeria ambazo zimepangwa kundi G kwenye michuano hiyo, juzi zilitoshana nguvu na kuambulia pointi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo25 Aug
Kocha Twiga Stars afurahia kiwango cha wachezaji wake
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya ‘Harambee Starlets’ umemsaidia kugundua makosa ambayo atayafanyia kazi.
10 years ago
VijimamboSTARS UNITED YALAZIMISHWA SARE YA BAO 5-5 NA ALL AFRICAN STARS YA ATALANTA
Na Mwandishi wetu Atlanta, GATimu Stars United inayoundwa na nyota kutoka majimbo mbalimbali nchini Marekani siku ya Jumamosi Aug 1, 2015 katika kiwanja cha nyasi za bandia cha Hammond Dr kilichopo mji wa Sandy Spring jijini Atlanta jimbo la Georgia, ililazimishwa sare ya bao 5-5 katika mchezo mkali na wa kusisimua zidi ya timu mchanganyiko iliyoundwa na wachezaji wa mataifa ya Afrika...
10 years ago
Habarileo09 Aug
Mbambi afurahia kuitwa Taifa Stars
MCHEZAJI wa Mafunzo, Mohamed Abdulrahim Mohamed maarufu kama ‘Mbambi’ ameonesha furaha yake hadharani baada ya kuitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na kuahidi makubwa.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Sare na Simba yamshtua Kocha Azam
KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amesema atahakikisha anafanyia kazi safu ya ulinzi ili makosa yaliyojitokeza katika mechi dhidi ya Simba yasijirudie mchezo ujao. Vinara hao wa Ligi Kuu walilazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambapo matokeo hayo yaliendelea kuwabakiza kileleni wakiwa na pointi 26.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s72-c/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS
![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s1600/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...
11 years ago
MichuziTAIFA STARS YATOKA SARE NA MSUMBIJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Rl2Xj7ubZAA/U8vri_U6qXI/AAAAAAABDu8/65qx-1LG4x8/s1600/3m.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0XFYoLx4xfs/U8vugvbIsLI/AAAAAAABDv8/iR391BVN1Js/s1600/10s.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-jA7rw-iVOVs/U8vrm2CVgtI/AAAAAAABDvg/6uuy3d0iZJQ/s1600/s7.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FAalECGdHVM/U8vq4l7BjrI/AAAAAAABDuo/yLpiy2LR4O8/s1600/Pix-3.jpg)
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior katika mchezo...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uuReDbJrg0s/VZgewh7j5II/AAAAAAABkOQ/Nldp6fS8gYU/s72-c/Kikosi%2Bcha%2BStars%2Bkilichoanza%2Bleo%2Bdhidi%2Bya%2BUganda.jpg)
STARS NA UGANDA ZATOKA SARE 1-1 NAKIVUBO
![](http://2.bp.blogspot.com/-uuReDbJrg0s/VZgewh7j5II/AAAAAAABkOQ/Nldp6fS8gYU/s640/Kikosi%2Bcha%2BStars%2Bkilichoanza%2Bleo%2Bdhidi%2Bya%2BUganda.jpg)
Na Baraka Kizuguto, KAMPALATANZANIA imetupwa nje ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya sare ya 1-1 jioni ya leo Uwanja wa Nakivubo, Kampala, Uganda.Matokeo hayo yanamaanisha, Stars imetolewa kwa kipigo cha jumla cha mabao 4-1, baada ya awali kufungwa 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Raundi hiyo ya kwanza visiwani Zanzibar wiki mbili zilizopita.Dakika 45 za kwanza zilimalizika kukiwa hakuna timu iliyopata bao na kipindi cha pili na kipindi cha pili, John Bocco ‘Adebayor’...
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Taifa Stars yapata sare Namibia
10 years ago
Vijimambo29 Mar
Samatta aibeba Stars ikitoka sare na Malawi 1-1
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/samattagoal.jpg)
Bao la Stars limefungwa na Mbwana Samatta akisawazisha bao baada ya kupokea pasi safi ya Ngassa kunako dakika ya 76.Malawi walipata bao katika dakika ya 4 kupitia kwa Esau Kanyenda kufatia mpira wa Kona baada ya Kipa Mwadini Ally akapangu mpra na kuangukia miguuni mwa mchezaji wa Malawi ambaye hakufanya makosa .
Katika...