Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yasitisha mkataba wa kocha wake

Shirikisho la Kabumbu nchini Tanzania TFF limetangaza kuvunja mkataba wake na Kocha mkuu wa Timu ya taifa ya soka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TFF YAVUNJA MKATABA NA KOCHA KIM POULSEN KWA MAKUBALIANO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari.
Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha Poulsen kwa ushirikiano na mchango ambao ameutoa kwa Tanzania kuanzia kwenye mpira wa miguu wa...

 

11 years ago

GPL

YANGA YASITISHA MKATABA NA BRANDTS

Kocha wa zamani wa Yanga, Ernie Brandts. Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu. Maamuzi hayo yanafuatia muenendo wa matokeo mabaya katika michezo iliyopita ya Ligi Kuu, kirafiki na bonanza la Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba SC mwishoni mwa wiki. Hatua ya Young Africans SC...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yasitisha mkataba CNN kutangaza utalii

Halmashauri ya Utalii imesema imesitisha matangazo ya kibiashara na CNN kutokana na ripoti iliyodai Kenya ni kitovu cha ugaidi.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Mkwasa alamba mkataba

HATIMAYE Kocha Charles Mkwasa ameingia mkataba wa kudumu wa mwaka mmoja na nusu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars. Mkataba huo ulisainiwa jana Dar es Salaam na umeanza kufanya kazi kuanzia Oktoba 1, mwaka huu hadi Machi 31, 2017.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kocha Mgambo JKT aongezewa mkataba

KOCHA wa timu ya Mgambo Shooting ya Tanga, Bakari Shime, amekubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa timu hiyo kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Shime aliyeichukua timu hiyo...

 

10 years ago

GPL

MKATABA WA SIMBA NA SINGANO WAVUNJWA NA TFF

Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'. LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo  mbili zilikutana chini ya TFF. Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF  kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana. Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano...

 

11 years ago

GPL

TFF, POULSEN WAKUBALIANA KUVUNJA MKATABA

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari. Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha...

 

10 years ago

Mwananchi

MKATABA:TFF yajikanyaga kesi ya Singano

Huku ikionekana dhahiri kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemlazimisha mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ kubaki Simba, mchezaji huyo alibubujikwa machozi hadharani huku akisema analiacha jambo hilo mbele ya Mungu.

 

9 years ago

Habarileo

TFF, NHIF kusaini mkataba wa mwaka

MKATABA wa mwaka mmoja wa udhamini wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya wachezaji wa klabu 16 za Ligi Kuu na viongozi wa benchi la ufundi, unatarajiwa kusainiwa rasmi keshokutwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani