Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YASITISHA MKATABA NA BRANDTS

Kocha wa zamani wa Yanga, Ernie Brandts. Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu. Maamuzi hayo yanafuatia muenendo wa matokeo mabaya katika michezo iliyopita ya Ligi Kuu, kirafiki na bonanza la Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba SC mwishoni mwa wiki. Hatua ya Young Africans SC...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

TFF yasitisha mkataba wa kocha wake

Shirikisho la Kabumbu nchini Tanzania TFF limetangaza kuvunja mkataba wake na Kocha mkuu wa Timu ya taifa ya soka

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yasitisha mkataba CNN kutangaza utalii

Halmashauri ya Utalii imesema imesitisha matangazo ya kibiashara na CNN kutokana na ripoti iliyodai Kenya ni kitovu cha ugaidi.

 

11 years ago

GPL

Brandts atimuliwa Yanga

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu KOCHA Ernie Brandts hana chake tena Yanga na ndani ya siku mbili, uongozi wa klabu hiyo utatangaza kumtimua.
Taarifa za uhakika ambazo Championi Jumatatu limezipata kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza Brandts ameshafukuzwa kazi.
“Kweli Brandts ameonekana hafai na wakubwa walikaa jana kikao mara tu baada ya mechi ya Simba na Yanga, wamefikia hatua ya kumuachisha kazi. “Mimi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba wamng’oa Brandts Yanga SC

KICHAPO cha mabao 3-1 ilichopata Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, juzi, kimegharimu kibaru cha aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo,...

 

11 years ago

GPL

Brandts: Yanga hii, itaimaliza Al Ahly

Kocha Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts, ameipata ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayoandaliwa na shirikisho la soka barani hapa (Caf), akasisitiza kikosi chake kinaweza kuitupa nje ya michuano hiyo timu kongwe ya Al Ahly ya Misri endapo watakutana nayo baada ya kuitoa Komorozine ya Comoro. Akizungumza na Championi Jumatano, Brandts amesema hana wasiwasi wowote wa kukutana na...

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu akabidhiwa kwa Brandts Yanga

Didier Kavumbagu. Na Lucy Mgina
UONGOZI wa Yanga umesema mtu atakayeamua hatma ya mshambuliaji wa kimataifa wa klabu hiyo, Didier Kavumbagu, raia wa Burundi kubaki au kuondoka ni kocha Ernie Brandts. Kavumbagu aliyeifungia mabao matano Yanga kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara, amebakiza mkataba wa miezi sita tu. Akizungumza na Championi Jumatano, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Abdallah Bin Kleb, alisema...

 

11 years ago

GPL

TWITE AONGEZA MKATABA YANGA

Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite. Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga baada ya kufikia makubaliano na uongozi na kupata majibu ya Shirikisho la Soka nchini TFF juu ya idadi ya wachezaji wa kimataifa kwa msimu ujao 2014/2015. Usajili wa Twite umefanyika leo makao makuu ya klabu ya Yanga chini ya Katibu...

 

9 years ago

Global Publishers

Yanga yavunja mkataba na Niyonzima

NIYONZIMANEW4Haruna Niyonzima. Klaubu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima kutokana na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchelewa kuripoti kambini na kutoipa kipaumbele klabu yake. Nahodha huyo wa Rwanda alichelewa kurejea kwenye klabu yake mara baada ya kumalizika kwa fainali za michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CEFAFA Challenge Cup) iliyofanyika nchini Ethiopia. Afisa Habari wa Yanga, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani