Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Brandts: Yanga hii, itaimaliza Al Ahly

Kocha Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts, ameipata ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayoandaliwa na shirikisho la soka barani hapa (Caf), akasisitiza kikosi chake kinaweza kuitupa nje ya michuano hiyo timu kongwe ya Al Ahly ya Misri endapo watakutana nayo baada ya kuitoa Komorozine ya Comoro. Akizungumza na Championi Jumatano, Brandts amesema hana wasiwasi wowote wa kukutana na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Brandts atimuliwa Yanga

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu KOCHA Ernie Brandts hana chake tena Yanga na ndani ya siku mbili, uongozi wa klabu hiyo utatangaza kumtimua.
Taarifa za uhakika ambazo Championi Jumatatu limezipata kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza Brandts ameshafukuzwa kazi.
“Kweli Brandts ameonekana hafai na wakubwa walikaa jana kikao mara tu baada ya mechi ya Simba na Yanga, wamefikia hatua ya kumuachisha kazi. “Mimi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba wamng’oa Brandts Yanga SC

KICHAPO cha mabao 3-1 ilichopata Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, juzi, kimegharimu kibaru cha aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo,...

 

11 years ago

GPL

YANGA YASITISHA MKATABA NA BRANDTS

Kocha wa zamani wa Yanga, Ernie Brandts. Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu. Maamuzi hayo yanafuatia muenendo wa matokeo mabaya katika michezo iliyopita ya Ligi Kuu, kirafiki na bonanza la Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba SC mwishoni mwa wiki. Hatua ya Young Africans SC...

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu akabidhiwa kwa Brandts Yanga

Didier Kavumbagu. Na Lucy Mgina
UONGOZI wa Yanga umesema mtu atakayeamua hatma ya mshambuliaji wa kimataifa wa klabu hiyo, Didier Kavumbagu, raia wa Burundi kubaki au kuondoka ni kocha Ernie Brandts. Kavumbagu aliyeifungia mabao matano Yanga kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara, amebakiza mkataba wa miezi sita tu. Akizungumza na Championi Jumatano, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Abdallah Bin Kleb, alisema...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanga yaibwaga Al-Ahly 1-0

Timu Yanga imevunja mwiko wa kutozifunga timu za Afrika Kaskazini kwa kuichapa Al-Alhly ya Misri 1-0

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tofauti ya Yanga na Al Ahly

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara, Yanga, wametinga raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamefika hatua hiyo baada ya kuwatupa nje Komorozine ya Domoni, Comoro kwa kuwanyuka jumla...

 

11 years ago

GPL

Yanga: Tuliwadanganya Al Ahly

Na Khadija Mngwai TIMU ya Yanga imeibuka na kusema kuwa waliwadanganya Al Ahly ya Misri wanayotarajia kukutana nayo Machi Mosi, mwaka huu kufuatia kutumia mfumo tofauti na ule wanaotarajia kuutumia pindi watakapokutana na timu hiyo. Mashushushu wa Al Ahly, walitua nchini kwa ajili ya kuiangalia Yanga ilipokuwa ikivaana na Komorozine katika mechi ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufanikiwa kuichapa mabao 7-0.
Yanga...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanga kupepetana na Al-Ahly

Yanga ya Tanzania, leo wanakabiliana na al-Ahly ya Misri katika mchezo wa kombe la mabingwa Afrika

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani