RAIS MAGUFULI 'AMGEUZIA KIBAO'RC MAKONDA, AMTAKA ARUDISHE FEDHA ZA TASAF HARAKA

*Ni baada ya Makonda kudai mzee Mkapa alimpa fedha za TASAF
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
RAIS Dk.John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kurudisha fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) huku akifafanua huenda kuwa Makonda ni kati ya wanakaya ambao si masikini lakini wamepata fedha hizo.
Ametoa kauli hiyo leo Februari 17 mwaka 2020 jijini Dar es Salaam wakati akizindua awamu ya tatu ya TASAF ikiwa ni mkakati wa mpango wa kunusuru kaya masikini kupitia...
Michuzi