Manji ameonyesha ukomavu
TIMU ya Yanga, juzi ilifungwa mabao 3-1 na mtani wake Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe iliyofanyika chini ya uratibu wa wadhamini wao, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Maalim Seif ameonyesha mfano
RAIS Jakaya Kikwete wiki iliyopita alilihutubia Bunge Maalumu la Katiba na kuweka msimamo wa chama chake CCM, kutaka serikali mbili badala ya tatu zilizopendekezwa katika rasimu ya Katiba. Rasimu ya...
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Blatter ameonyesha uwajibikaji, wengine wamfuate
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Ole Sendeka: Sumaye ameonyesha udhaifu kwenda Ukawa
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Tuonyeshe ukomavu kidemokrasia
WAKATI Kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiwa zinaelekea ukingoni, tunawakumbusha wafuasi wa vyama na wa
Mwandishi Wetu
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Bravo JK kwa ukomavu wa kisiasa
Kutoka kwa Mhariri Mkuu wa MOblog Tanzania
Tumepokea kwa furaha kama waandishi wa habari za mtandaoni (Social Media) kwamba Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) wilayani Karatu kimefurahishwa na mchango unaotolewa na Rais Jakaya Kikwete katika kuchochea maendeleo bila upendeleo.
Tunasema hivyo kwa sababu huko nyuma kulikuwa na dhana ya kwamba sehemu ambazo (Majimbo) upinzani umechukua basi serikali huwa inachelewesha maendeleo kwa makusudi kwenye jimbo husika kwa kuwa ni la...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Yanga wameonesha ukomavu mkubwa
JANUARI 12 ya kila mwaka ni maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) yaliyofanyika usiku wa Januari 12, mwaka 1964; ambayo mwaka huu yanatimiza umri wa miaka 50. Kuelekea sherehe hizo...
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Je, ishara ya ukomavu wa demokrasia au dalili za kansa ya siasa uchwara?
TOFAUTI kubwa ya msimu huu wa uchaguzi na misimu mingine iliyopita ni kishindo kilichosababishwa
Bashiru Ally
11 years ago
Mwananchi22 Apr
‘Ukomavu wa kisiasa’ kuwapa wananchi #Katiba Mpya [VIDEO]
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-WdaJ4iTGcog/XtoGbOZyVOI/AAAAAAACMSU/L-PFss0IuHobtLmboSemKai5OO--fnl2ACLcBGAsYHQ/s72-c/kin.jpg)
KINANA ONYESHA UKOMAVU KATIKA SIASA, AMUOMBA RADHI MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI
![](https://1.bp.blogspot.com/-WdaJ4iTGcog/XtoGbOZyVOI/AAAAAAACMSU/L-PFss0IuHobtLmboSemKai5OO--fnl2ACLcBGAsYHQ/s400/kin.jpg)
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana (pichani) amemuomba radhi Mwenyekiti wa CCM Rais Dk.John Magufuli kwa kauli mbalimbali alizotoa hadi Chama kulazimika kumpa adhabu hivi karibuni.
Kinana alitoa tamko la kumuomba radhi Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli, alipozungumza na Waandishi wa habari baada ya kukutanha na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa mkoa huo Zelothe Stephen na kufanya mazungumzo naye katika ofisi za CCM mkoa wa Arusha leo.
Katika...