Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, ishara ya ukomavu wa demokrasia au dalili za kansa ya siasa uchwara?

TOFAUTI kubwa ya msimu huu wa uchaguzi na misimu mingine iliyopita ni kishindo kilichosababishwa

Bashiru Ally

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DALILI ZA KUSAMBAA KWA KANSA YA TITI

Wiki iliyopita tuliendelea kueleza matatizo ya kansa ya matiti, leo tunaelezea dalili za kusambaa kwa saratani hii mwilini.Kitendo cha kansa kusambaa mwilini kupitia mkondo wa damu na limfu huitwa metastasis.  Kusambaa kwa saratani hadi kwenye viungo na tishu muhimu kama vile ubongo, ini, mifupa au mapafu  bado kunaufanya ugonjwa huo kuwa hatari. Dalili za saratani kusambaa mwilini ni maumivu ya mifupa, maumivu kwenye...

 

11 years ago

GPL

DALILI ZA KANSA YA MATITI(BREAST CANCER) - 3

Wiki mbili tumekuwa tukichambua ugonjwa wa kansa ya titi, leo tunaeleza dalili za maradhi haya.
Nijua kuwa wanawake wengi wanajiuliza ni zipi dalili za saratani ya matiti? Dalili ya awali inayoweza kutambulisha saratani ya matiti ni kuwepo kwa uvimbe kwenye titi ambao huwa na hali tofauti na sehemu nyingine za titi. Hata hivyo, si kila uvimbe kwenye titi unaashiria uwepo wa saratani ya matiti. Uvimbe huu huwa mgumu,...

 

11 years ago

Habarileo

'Siasa uchwara ni hatari kwa nchi'

WASOMI, wanadiplomasia na viongozi wa dini wameasa wanasiasa kuwa makini na usalama wa taifa kwa kuhakikisha tofauti za vyama vyao, hazidhoofishi utaifa na maslahi ya nchi. Wamehadharisha juu ya kile kilichoitwa ‘siasa uchwara’ na propaganda, wakisema ikifika hatua ya wanasiasa kuonesha tofauti hadharani juu ya masuala yanayogusa maslahi na usalama wa nchi, ni jambo la hatari na haileti picha nzuri usoni mwa mataifa mengine.

 

5 years ago

CCM Blog

KINANA ONYESHA UKOMAVU KATIKA SIASA, AMUOMBA RADHI MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI

CCM Blog, Arusha
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana (pichani) amemuomba radhi Mwenyekiti wa CCM Rais Dk.John Magufuli kwa kauli mbalimbali alizotoa hadi Chama kulazimika kumpa adhabu hivi karibuni.

Kinana alitoa tamko la kumuomba radhi Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli, alipozungumza na Waandishi wa habari baada ya kukutanha na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa mkoa huo Zelothe Stephen na kufanya mazungumzo naye katika ofisi za CCM mkoa wa Arusha leo.

Katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwaka 2014 uzae demokrasia ndani ya vyama vya siasa

Mwaka uliopita wa 2013 umekwisha huku vyama vya siasa vikipambana kulinda nafasi zao. Mambo mengi yametokea lakini kwanza tutazame kwa ufupi yaliyojitokeza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Msimamizi wa uchaguzi wa EU ataka vyama vya siasa nchini kuwa na dhamira ya kuimarisha demokrasia

xuttynyfcf5zwtk562fe7176465a

Muangalizi Mkuu wa EU EOM, Judith Sargentini, Mbunge wa Bunge la Ulaya akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani) nchini.

 

5 years ago

CHADEMA Blog

Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania.

Taarifa kwa Wanahabari Juu ya AZIMIO LA ZANZIBAR Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania. SISI, Viongozi na Wanachama waandamizi wa Vyama vyetu sita vilivyosaini tamko hili, tumekutana hapa Zanzibar Disemba 16 – 18 kufanya tafakuri na kujadili juu ya dira yetu kama Taifa. Mkutano huu maalum wa

 

10 years ago

Raia Mwema

Tuonyeshe ukomavu kidemokrasia

WAKATI Kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiwa zinaelekea ukingoni, tunawakumbusha wafuasi wa vyama na wa

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manji ameonyesha ukomavu

TIMU ya Yanga, juzi ilifungwa mabao 3-1 na mtani wake Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe iliyofanyika chini ya uratibu wa wadhamini wao, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani