DALILI ZA KUSAMBAA KWA KANSA YA TITI
![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLfujG8HdXQccp0yWVbgys6yNa*W7zfpiIm81YnEvTOr7aoGoZVOqtzE9wE1nQ*NShrlX3iTVrBt9oNj4Yxxf*u/kansajamani1.jpg?width=650)
Wiki iliyopita tuliendelea kueleza matatizo ya kansa ya matiti, leo tunaelezea dalili za kusambaa kwa saratani hii mwilini.Kitendo cha kansa kusambaa mwilini kupitia mkondo wa damu na limfu huitwa metastasis. Kusambaa kwa saratani hadi kwenye viungo na tishu muhimu kama vile ubongo, ini, mifupa au mapafu bado kunaufanya ugonjwa huo kuwa hatari. Dalili za saratani kusambaa mwilini ni maumivu ya mifupa, maumivu kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TZe6kie7SpcA79pUIkrDLYXuTd1oKY-DevE2JEZ7rW5EySFhj3DaAiUE-OEEkBjzHIyVyKfOjMX5BRuM*KICbLQ/breastcancerillustrations.jpg?width=650)
DALILI ZA KANSA YA MATITI(BREAST CANCER) - 3
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Je, ishara ya ukomavu wa demokrasia au dalili za kansa ya siasa uchwara?
TOFAUTI kubwa ya msimu huu wa uchaguzi na misimu mingine iliyopita ni kishindo kilichosababishwa
Bashiru Ally
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
WHO:Laonya kusambaa kwa Ebola Mali
11 years ago
BBCSwahili14 Aug
Hatua zaidi kuzuia kusambaa kwa Ebola
11 years ago
CloudsFM10 Jun
SAKATA LA KUSAMBAA KWA PICHA ZA NGONO MITANDAONI LAIBUKA BUNGENI
SIKU chache baada ya kusambazwa picha za ngono zikiwahusisha baadhi ya wabunge katika mitandao ya kijamii, serikali imesema inawasaka waliozisambaza kwa kuwa ina uwezo wa kuwabaini.
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, alitoa kauli hiyo jana bungeni baada ya Spika Anne Makinda, kumtaka azungumzie picha chafu za baadhi ya wabunge zilizotolewa na kusambazwa kwenye mitandao.
Waziri Mbarawa, alisema serikali inafuatilia na kuchunguza waliosambaza picha hizo...
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Coronavirus: Jitihada za Zanzibar kupambana na kusambaa kwa virusi vya corona
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-TwemQV8fRCg/VTeIwlVB48I/AAAAAAABMMo/_BHN-bVWe9M/s72-c/11031134_1060472877345892_9130118405578499426_n.jpg)
BAADA YA KUSAMBAA KWA PICHA ZA MWANASHERIA AKIFANANISHWA NA JAMBAZI HIKI NDICHO ALICHOKISEMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TwemQV8fRCg/VTeIwlVB48I/AAAAAAABMMo/_BHN-bVWe9M/s1600/11031134_1060472877345892_9130118405578499426_n.jpg)
Kutokana na kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha vijana wanaosadikika kuwa ni majambazi waliokamatwa na jeshi la polisi siku ya jana, kijana aliyezungushiwa duara ambaye anaonekana katika picha akiwa na wenzake, anafananishwa na kijana anayeonekana akiwa na mwenziwake katika shughuli ya kumvalisha pete ya uchumba mwenzi huyo, ambapo watu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OUOhUfH_2ao/XqMLYpo0AdI/AAAAAAALoIY/AEkNAvMKvFQUvLGK0UkFqkGAIIaFyRKqwCLcBGAsYHQ/s72-c/94312930_2741905162575055_8908452115450429440_o.jpg)
5 years ago
MichuziVIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC SASA KUFANYIKA KWA NJIA YA VIDEO KUEPUKA KITISHO CHA KUSAMBAA KWA VIRUSI VYA UGONJWA WA CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Blog ya jamii
NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika( SADC) zimechukua hatua ya vikao vyake kikiwemo cha Baraza la Mawaziri katika nchi hizo kufanya vikao kwa njia ha Video ikiwa ni moja ya mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa Corona ( CODIC -19 ).
Akizungumza leo Machi 10 mwaka 2020 ,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert Ibuge amesema kuwa hatua hizo zimetokana na ushauri uliotolewa katika...