SAKATA LA KUSAMBAA KWA PICHA ZA NGONO MITANDAONI LAIBUKA BUNGENI
SIKU chache baada ya kusambazwa picha za ngono zikiwahusisha baadhi ya wabunge katika mitandao ya kijamii, serikali imesema inawasaka waliozisambaza kwa kuwa ina uwezo wa kuwabaini.
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, alitoa kauli hiyo jana bungeni baada ya Spika Anne Makinda, kumtaka azungumzie picha chafu za baadhi ya wabunge zilizotolewa na kusambazwa kwenye mitandao.
Waziri Mbarawa, alisema serikali inafuatilia na kuchunguza waliosambaza picha hizo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Picha za ngono zatua bungeni
SIKU chache baada ya kusambazwa picha za ngono zikiwahusisha baadhi ya wabunge katika mitandao ya kijamii, serikali imesema inawasaka waliozisambaza kwa kuwa ina uwezo wa kuwabaini. Waziri wa Mawasiliano Sayansi...
10 years ago
Bongo Movies29 May
Sakata la Zile Picha Chafu za Shilole Latinga Bungeni
Lile sakata la picha zisizo za maadili za Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva,Shilole alizopigwa nchini Ubelgiji akiwa kwenye shoo yake zimejadiliwa bungeni mjini Dodoma.
Naibu waziri wa wizara ya Habari,Vijana na Utamaduni na Michezo,Juma Nkamia aliamua kuomba radhi jana kwa niaba ya serikali kufuatia kitendo cha msanii huyo kuvaa nguo zisizo za maadili jukwaani.
Hivi karibuni baadhi ya picha za msanii huyo zilizagaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa jukwaani amevaa mavazi ambayo...
11 years ago
Habarileo08 Dec
Sakata la misamaha ya kodi laibuka upya
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeibua upya matatizo ya misamaha ya kodi bungeni na kubainisha wazi kuwa tatizo hilo linazidi kuwa kubwa siku hadi siku, ambapo kwa mwaka wa fedha 2011/2012 misamaha ya kodi iliyotolewa ilikuwa ni asilimia 13 sawa na bajeti ya mwaka huo wa fedha iliyokuwa Sh trilioni 13.5.
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Sakata la jengo la ATCL kupigwa mnada laibuka tena
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-TwemQV8fRCg/VTeIwlVB48I/AAAAAAABMMo/_BHN-bVWe9M/s72-c/11031134_1060472877345892_9130118405578499426_n.jpg)
BAADA YA KUSAMBAA KWA PICHA ZA MWANASHERIA AKIFANANISHWA NA JAMBAZI HIKI NDICHO ALICHOKISEMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TwemQV8fRCg/VTeIwlVB48I/AAAAAAABMMo/_BHN-bVWe9M/s1600/11031134_1060472877345892_9130118405578499426_n.jpg)
Kutokana na kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha vijana wanaosadikika kuwa ni majambazi waliokamatwa na jeshi la polisi siku ya jana, kijana aliyezungushiwa duara ambaye anaonekana katika picha akiwa na wenzake, anafananishwa na kijana anayeonekana akiwa na mwenziwake katika shughuli ya kumvalisha pete ya uchumba mwenzi huyo, ambapo watu...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Picha za mitandaoni kwa “wanajeshi” wetu twende mbele zaidi
SIKU chache zilizopita kupitia vyombo vya habari takribani vyote ikiwemo mitandao ya kijamii vilitawaliwa na tukio la kufukuzwa kazi kwa askari watatu wa Jeshi la Polisi wa Kikosi cha Usalama...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Wito kwa mabloga kuzingatia maadili kuheshimu picha za marehemu mitandaoni
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Picha za ngono ni hatari kwa afya ya ubongo
5 years ago
BBCSwahili15 May
Zoom yashtakiwa na Kanisa baada ya mafunzo ya bibilia kuvamiwa kwa picha za ngono dhidi ya watoto