Sakata la misamaha ya kodi laibuka upya
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeibua upya matatizo ya misamaha ya kodi bungeni na kubainisha wazi kuwa tatizo hilo linazidi kuwa kubwa siku hadi siku, ambapo kwa mwaka wa fedha 2011/2012 misamaha ya kodi iliyotolewa ilikuwa ni asilimia 13 sawa na bajeti ya mwaka huo wa fedha iliyokuwa Sh trilioni 13.5.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Bifu la Wema na Kajala Laibuka Upya!
Bifu la kati ya waigizaji marafiki wa zamani Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘Kay’ inadaiwa kuwa limeibuka tena upya mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Madam kuanika ubaya aliotendewa na Kajala aliyewahi kumlipia faini ya shilingi milioni 13 na kumuepusha na kifungo cha miaka 7 jela, Machi 25, 2013, kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na kituo cha televisheni cha EATV.
Wafuasi na mashabiki wa Kajala hawakufurahishwa na maneno ya Wema ambayo walidai yalikuwa...
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Sakata la jengo la ATCL kupigwa mnada laibuka tena
11 years ago
CloudsFM10 Jun
SAKATA LA KUSAMBAA KWA PICHA ZA NGONO MITANDAONI LAIBUKA BUNGENI
SIKU chache baada ya kusambazwa picha za ngono zikiwahusisha baadhi ya wabunge katika mitandao ya kijamii, serikali imesema inawasaka waliozisambaza kwa kuwa ina uwezo wa kuwabaini.
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, alitoa kauli hiyo jana bungeni baada ya Spika Anne Makinda, kumtaka azungumzie picha chafu za baadhi ya wabunge zilizotolewa na kusambazwa kwenye mitandao.
Waziri Mbarawa, alisema serikali inafuatilia na kuchunguza waliosambaza picha hizo...
10 years ago
Mwananchi20 Jan
‘Misamaha ya kodi ni hasara’
11 years ago
Habarileo28 Jun
Misamaha ya kodi yapigwa kalenda
KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imekataa kubariki Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na Muswada wa Sheria ya Utawala wa Kodi, ambayo ilikuwa iwasilishwe bungeni Jumatatu ijayo na kujadiliwa, ili misamaha ya kodi isiyo na tija ifutwe.
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Magufuli: Nitaondoa misamaha ya kodi
10 years ago
Habarileo20 Jan
Misamaha ya kodi yachefua wabunge
KAMATI ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Serikali kufanya kila linalowezekana inapunguza misamaha ya kodi ambayo katika mwaka wa fedha 2013/14 ilipaa kwa Sh bilioni 340 kutoka Sh trilioni 1.48 hadi Sh trilioni 1.82 mwaka uliopita.
10 years ago
Habarileo04 Dec
Washinikiza misamaha ya kodi ifutwe
WADAU wa asasi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wameishauri serikali kufuta misamaha ya kodi ili fedha zitakazokusanywa ziweze kutumika kuboresha na kuimarisha huduma za kijamii ikiwemo elimu, afya na kilimo.
10 years ago
Mwananchi22 Nov
TRA yalia na misamaha ya kodi