Manji azuia mamilioni ya Okwi
![](http://api.ning.com:80/files/Akn4LDwu9Xzj-CKpKsEDj8srqWlS9BRFziVCry63SEHf9HnqZBHkNUyxab8Iuiv61L7BzzGKJcnZLqH*Qm2n5Bn7MV79PWXC/11.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, ameonyesha ukomavu katika uongozi wa soka baada ya kukataa wachezaji wake kuuzwa katika kipindi timu yao inapambana kutetea ubingwa wa Tanzania Bara. Manji amekataa kuuzwa kwa Emmanuel Okwi kwa Klabu ya Al Ain ya Abu Dhabi ambayo ilikuwa tayari kutoa kitita cha dola 500,000 (Sh milioni 818) kwa kuwa si wakati mwafaka.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39fNryDs90bWGTjix4l4Is6kFlrfPpclPsgVyzpWSmUH1C5cIrh8fZh0xUu8b6gaVvs6vXOYQZ6wfCtHYKIXq4su/manji.gif?width=650)
Manji amdai Okwi mamilioni
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVmnpwGOvDa-FtqRo-oTS7kGw*PntjIMwJzFg8zptIIXy6x-UU*n9J2weX55WwyJIwMdJi0kc4S*uze7fhuQ-IHl/okw.gif?width=650)
Okwi ampigia magoti Manji
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Manji amgeuzia kibao Okwi
SAKATA la Mshambuliaji wa Kimataifa Emmanuel Okwi kuikacha timu yake ya Yanga aliyojifunga nayo mkaraba wa miaka miwili na kurejea Simba, limechukua sura mpya baada ya Yanga kumtaka awalipe fidia...
10 years ago
GPLSUALA LA OKWI KUSAINI SIMBA, MANJI ACHARUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/udqKvOQQNZxGmendPuEbJZOE7hyWsMlcYT9txXjbArUQtXF3XJWdpRxN4z1DQrBTEsPwmVQIVQDc9AosyqB-sxB7fcj3fOsu/1.gif)
Okwi aogelea mamilioni Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyShFYrpATAgnoDUp9LKH-uBKhG-DY5PKkV8pmDM5-IDuYF5rDXh8OmfiFQ3ZxBG-DeY6N1CmWMpGfVft9WHQ949/RAGE.jpg?width=650)
Rage amkabidhi... Aveva mamilioni ya Okwi
10 years ago
Habarileo30 Jul
Azuia ‘ambulance’ zisitumike
MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Williman Ndile, amezuia magari mawili ya wagonjwa yasitumike kwa sababu hayana ubora.
10 years ago
Habarileo30 Aug
RC azuia majeshi kutumika kiholela
MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Kanali mstaafu Issa Machibya amezuia kutumika kiholela kwa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama mkoani humo katika shughuli mbalimbali za kijamii hadi atakapotoa ruhusa ya kutumika kwao kutokana kutumika vibaya kwa majeshi hayo.
10 years ago
Habarileo04 Aug
Kikwete azuia ‘ulaji’ trafiki
RAIS Jakaya Kikwete ameliagiza Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, kuanzisha mara moja mfumo wa ulipaji faini kwa njia ya Benki na mitandao ya simu za mkononi ili kupunguza ushawishi wa vitendo vya rushwa kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini.