Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda amkabidhi ofisi Majaliwa

WAZIRI Mkuu mstaafu Mizengo Pinda amekabidhi ofisi kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kumtaka aimarishe ufuatiliaji wa maelekezo anayoyatoa kwenda ngazi za chini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Pinda amkabidhi mikoba Majaliwa

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda amekabidhi ofisi kwa Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa huku akimtaka kufuatilia kwa karibu maelekezo anayoyatoa kwenda ngazi za chini.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha  Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda  ambaye Novemba 30,2015 alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo  Pinda ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015 kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda wakimsikiliza  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri...

 

9 years ago

StarTV

  Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhiwa Ofisi,  Pinda amtaka kuimarisha ufuatiliaji maagizo

 

Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda amekabidhi ofisi kwa Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa.

Mheshimiwa Pinda amemtaka Waziri Mkuu Majaliwa kuimarisha ufuatiliaji wa maelekezo anayoyatoa kwenda ngazi za chini.

Akizungumza wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Pinda amesema katika kipindi cha uongozi wake kulikuwa na ucheleweshaji wa kupata majibu kutoka ngazi ya chini katika maelekezo aliyokuwa akitoa.

Amemtaka...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Angellah Kairuki amkabidhi Ofisi Mhe. Ummy Mwalimu leo

Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akikabidhiwa ua na mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Christina Nyenga wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri leo jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu wakati akimkabidhi ofisi leo jijini Dar Es Salaam . kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lililofanyika Jumamosi.

 

10 years ago

GPL

MHE. ANGELLAH KAIRUKI AMKABIDHI OFISI MHE. UMMY MWALIMU

Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akikabidhiwa ua na mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Christina Nyenga wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AMKABIDHI OFISI WAZIRI MHAGAMA LEO

Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (Kulia) ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) akifafanua jamabo kuhusu masuala ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Waziri wa Nchi aliyeteuliwa kushika wadhifa huo Mhe. Jenesta Mhagama (Mb) (kushoto ) wakati wa kumkabidhi ofisi, leo, Jijini Dar e es Salaam. Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (mwenye shati) ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri...

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa ataka watumishi wa ofisi yake kujitambua

WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu watambue jukumu walilonalo la kuwahudumia wananchi kutokana na majukumu ya ofisi hiyo yanayogusa maisha ya kila siku ya Watanzania.

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa atembelea NFRA na ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Peramiho

IMGS7705

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS7592

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.

IMGS7613

IMGS7628

IMGS7659

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa vazi la jadi la Wangoni baada ya kuwasili kwenye   kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016

WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA  MIZENGO  PETER  PINDA
                                                                                               

UTANGULIZI


1.            Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani