Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe. Angellah Kairuki amkabidhi Ofisi Mhe. Ummy Mwalimu leo

Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akikabidhiwa ua na mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Christina Nyenga wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri leo jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu wakati akimkabidhi ofisi leo jijini Dar Es Salaam . kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lililofanyika Jumamosi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MHE. ANGELLAH KAIRUKI AMKABIDHI OFISI MHE. UMMY MWALIMU

Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akikabidhiwa ua na mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Christina Nyenga wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu… ...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angellah Kairuki na mmiliki wa Bongo5 wachaguliwa kuwa miongoni mwa viongozi vijana duniani ‘Young Global Leaders 2014

 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Angellah Kairuki  (kushoto) pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji (CEO) wa Bongo5 Media Group na Jefag Logistics Tanzania Ltd, Luca Neghesti (chini) wameteuliwa kuwa miongoni mwa viongozi vijana duniani, ‘Young Global Leaders 2014’   Watanzania hao wawili wameingia kwenye jopo hilo ambalo mwaka huu linaundwa na vijana 214 kutoka nchi 66 duniani kutoka serikalini na makampuni binafsi.  Mwaka huu Afrika ina wawakilishi 19 peke yake.   Idadi hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Kairuki akutana na watumishi wa ofisi yake

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa Ofisi yake (hawapo pichani) wakati wa kikao chake na watumishi hao kilichofanyika jana alasiri..Katibu Mkuu mteule Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurian Ndumbaro (kushoto) akipokea Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma (Standing Order) kutoka kwa aliyekuwa akishika nafasi hiyo Katibu Mkuu, Bw. HAB Mkwizu (kulia). Anayeshuhudia ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mhe. Ummy Mwalimu azindua Bodi Mpya ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (katikati) akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Bwana Diwan Msemo (kushoto) mara alipowasili katika Hospitali ya Saratani ya Ocean Road ya Jijini Dar es Salaam kwenye Uzinduzi wa Bodi ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road uliofanyika leo 17 Desemba, 2015. Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Bwana Diwan Msemo (aliyevaa suti) akimpeleka Waziri wa Afya,...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe .Ummy Mwalimu Aendesha Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wasichana wa Wilaya ya Muheza - Tanga

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais,Mhe Ummy Mwalimu kupitia Taasisi ya Maendeleo ya Wanawake wa Mkoa wa Tanga (TAWODE) ameendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana wa Wilaya ya Muheza, Mkoani Tanga wenye umri kati ya miaka 10 - 24. Lengo la mafunzo hayo ni kuwawezesha wasichana hao kujitambua na kujithamini katika masuala ya afya ya uzazi ili kujikinga na mimba na ndoa za utotoni na maambukizi ya VVU/UKIMWI.Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Ummy Mwalimu afanya ziara ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda cha OK Plastic

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu amefanya ziara ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda cha OK Plastic kilichopo jijini Dar Es Salaam. Ziara hiyo ni muendelezo wa ziara za kuangalia hali ya mazingira kwenye viwanda mbalimbali hapa Nchini. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akipata maelezo ya uendeshaji wa kiwanda cha OK Plastic kutoka kwa Menejimenti ya kiwanda hiko.Wengine wanaofuatia ni Mkurugenzi Msaidizi-Mazingira Ofisi ya Makamu wa...

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Anjela Kairuki Aanza Kazi rasmi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb) (wa pili kutoka kushoto) akiwasili ofisini na kulakiwa na watendaji wa ofisi yake mara baada ya kuapishwa. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Bw. Tixon Nzunda. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb) akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili rasmi katika ofisi yake leo Jumamosi. Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi na...

 

9 years ago

Michuzi

MHE. KAIRUKI AENDELEA NA ZIARA KATIKA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (wa pili kulia) akizungumza na watumishi wa Bodi ya Mishahara na Masilahi katika Utumishi wa Umma alipoitembelea ofisi hiyo mapema leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto) akiwahimiza watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma kuwajibika alipoitembelea ofisi hiyo mapema leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani