Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. KAIRUKI AENDELEA NA ZIARA KATIKA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (wa pili kulia) akizungumza na watumishi wa Bodi ya Mishahara na Masilahi katika Utumishi wa Umma alipoitembelea ofisi hiyo mapema leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto) akiwahimiza watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma kuwajibika alipoitembelea ofisi hiyo mapema leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF AWAANDALIA CHAKULA CHA USIKU WATENDAJI WA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE

Balozi Seif akitoa nasaha zake mara baada ya kuwaandalia chakula cha usiku Viongozi na Watenmdaji wa Taasisi zilizochini ya Ofisi yake kufuatia kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo pamoja na kuagana baada ya kufanyakazi pamoja katika kipindi cya miaka mitano iliyopita.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kuzungumza na Viongozi na watendaji wa Ofisi yake.Makamu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS SHEIN APATA FUTARI NA WAFANYAKAZI WA WIZARA ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili viwanja vya Ikulu kuhudhuria katika futari ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais. (Picha na Ikulu)Viongozi mbali mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais wakiwa katika futari ya pamoja iliyotayarishwa jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Kairuki akutana na watumishi wa ofisi yake

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa Ofisi yake (hawapo pichani) wakati wa kikao chake na watumishi hao kilichofanyika jana alasiri..Katibu Mkuu mteule Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurian Ndumbaro (kushoto) akipokea Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma (Standing Order) kutoka kwa aliyekuwa akishika nafasi hiyo Katibu Mkuu, Bw. HAB Mkwizu (kulia). Anayeshuhudia ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. MAKALLA AENDELEA NA ZIARA YAKE MOROGORO

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla leo ameendelea na ziara yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero kwa kutembelea miradi ya mji wa Mvomero na Mlali, Kata ya Mlali, Tarafa ya Mlali mkoani Morogoro.
Mhe. Makalla ameridhishwa na kiwango cha mradi wa maji wa mji wa Mvomero na mpango kazi wa mkandarasi anayetekeleza mradi huo.
“Nakubaliana na mpango kazi wenu na ninaamini kuwa mpaka mwezi wa tano, mtakuwa mmekamilisha mradi huu na kukabidhi kazi kwa Serikali na wananchi wa jiji la...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Angellah Kairuki amkabidhi Ofisi Mhe. Ummy Mwalimu leo

Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akikabidhiwa ua na mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Christina Nyenga wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri leo jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu wakati akimkabidhi ofisi leo jijini Dar Es Salaam . kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lililofanyika Jumamosi.

 

10 years ago

GPL

MHE. ANGELLAH KAIRUKI AMKABIDHI OFISI MHE. UMMY MWALIMU

Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akikabidhiwa ua na mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Christina Nyenga wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu… ...

 

11 years ago

Michuzi

DKt Shein awapongeza wafanyakazi wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya kulanao pamoja chakula katika fahla ya kuwapongeza wafanyakazi hao baada ya  kupitishwa bajeti za Wizara hizo katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea ,hafla hiyo ilifanyika leo viwanja vya Ikulu,(wapili kulia)Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,akifuatiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA ATILIANA SAINI MKATABA WA UTENDAJI NA WENYEVITI WA BODI ZA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA MAWASILIANO

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Prof. Makame Mbarawa ameongoza zoezi la utiaji Saini Mkataba wa Utendaji baina yake na Wenyeviti wa Bodi za Taasisi zilizo chini ya Wizara kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Taasisi zao kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015.
Lengo la Mhe. Waziri kuwekeana saini Mkataba wa Utendaji na Wenyeviti wa Bodi ni kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa majukumu ya Wenyeviti wa Bodi hizo ili kuleta ufanisi na tija kwenye Sekta ya TEHAMA, Sayansi na Teknolojia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani