Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. MAKALLA AENDELEA NA ZIARA YAKE MOROGORO

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla leo ameendelea na ziara yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero kwa kutembelea miradi ya mji wa Mvomero na Mlali, Kata ya Mlali, Tarafa ya Mlali mkoani Morogoro.
Mhe. Makalla ameridhishwa na kiwango cha mradi wa maji wa mji wa Mvomero na mpango kazi wa mkandarasi anayetekeleza mradi huo.
“Nakubaliana na mpango kazi wenu na ninaamini kuwa mpaka mwezi wa tano, mtakuwa mmekamilisha mradi huu na kukabidhi kazi kwa Serikali na wananchi wa jiji la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MHE. KAIRUKI AENDELEA NA ZIARA KATIKA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (wa pili kulia) akizungumza na watumishi wa Bodi ya Mishahara na Masilahi katika Utumishi wa Umma alipoitembelea ofisi hiyo mapema leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto) akiwahimiza watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma kuwajibika alipoitembelea ofisi hiyo mapema leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb)...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Makalla aendelea na ziara jimboni kwake kwa usafiri wa bodaboda

Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla ameendelea na ziara Jimboni kwake kwa kutumia usafiri wa pikpiki,na safari hii ameweza kufika kijiji cha Sewe ambacho kipo kilomita 35 toka kijiji cha Maharaka.
Kutokana na kutokuwepo kwa barabara nzuri za kuelekea kwenye kijiji hicho,Mh. Makalla aliamua kutumia zaidi ya saa moja kufika kijiji cha Sewe kwa kutumia usafiri wa pikipiki ili mradi awafikie wananchi wake.
Mara baada ya kuwasili kijiji hicho,wananchi walifurahi na...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean Osullisan   wakati  alipotembelea  machujio ya kusafisha na kutibu maji eneo la Mafiga , kwenye  miradi ya maji ya  Mamlaka ya Majisfi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (MORUWASA).
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean...

 

11 years ago

GPL

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA WILAYANI MANYONI

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makalla akipata maelezo wa ujenzi wa bwawa la kijiji cha Itagate wilayani Manyoni.
Mhe. Amos Makalla (katikati) na Mbunge wa Manyoni, Capt John Chiligati (shati la kahawia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu cha kijiji cha…

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla mjini Babati

Naibu waziri wa maji Amos Makalla amefanya ziara katika halmshauri ya Babati vijijini,Babati mji Na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Babati(BAWASA). Katika halmashauri ya Babati vijijini ameweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa maji kijiji cha Riroda wananchi 4000 wanapata maji safi Katika Halmashauri ya Babati mji ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Managhat watu zaidi ya 3,000 watanufaika kuanzia kesho Aidha ameweka jiwe la msingi jengo kubwa la kisasa la mamlaka ya maji...

 

11 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri maji Mhe Amos Makalla wilaya ya manyoni

Naibu Waziri wa Maji Mhe  Amos makalla akipata maelezo wa ujenzi wa bwawa la kijiji cha Itagate wilayani Manyoni  Mhe Amos Makalla ( katikati) na mbunge wa manyoni capt John chiligati (shati la kahawia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu kijiji cha Mbwasa Nawasilisha.  Mhe Amos Makalla ( katikati) na mbunge wa Manyoni Mhe  John chiligati (kulia) wakiangalia sehemu patakapochimbwa kisima kirefu katika kijiji cha Mbwasa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani