Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji sasa ampa rungu Maximo

Uongozi wa Yanga umemwangushia ‘zigo’ la kina Okwi kocha wa timu hiyo Mbrazili Marcio Maximo wakisema yeye ndiye mwenye uamuzi wa mwisho wa kumpunguza kati ya mshambuliaji Emmanuel Okwi au Hamis Kiiza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nchemba ampa rungu DC kuwakamata wezi wa dawa

Mwigulu NchembaNAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kufanyia uchunguzi suala la upungufu wa dawa hospitalini kubaini wanaohusika na uchotaji wachukuliwe hatua.

 

11 years ago

GPL

MAXIMO AMPA KASEJA TAA YA KIJANI

Maximo (katikati) akiwa na kocha msadizi wa Yanga, Mbrazili Leornado Leiva Martins (kulia).
Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amekabidhi mapendekezo ya usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara huku akitaka wachezaji wenye uwezo wa kimataifa.…

 

9 years ago

Habarileo

Yanga sasa kimataifa zaidi, asema Manji

MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji amesema malengo ya Yanga wakati ujao ni kufanya vizuri katika mashindano ya Afrika na sio kuifunga Simba peke yake kama ambavyo imekuwa hivyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Fidia ya Maximo sasa yaitesa Yanga

Suala la fidia ya kuvunja mkataba wa kocha Marcio Maximo limeonekana kuwa mwiba mchungu kwa uongozi wa Yanga, huku Mbrazili huyo jana akionekana katika mazoezi ya asubuhi ya timu hiyo.

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi

KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.

“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

9 years ago

Mtanzania

Rungu jipya la Magufuli

mtz1*Fagio la kupunguza wafanyakazi mashirika ya umma

*Posho za wabunge vikao vya bodi zapigwa marufuku

 

RUTH MNKENI NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

SERIKALI ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli, imeshusha rungu jipya kwa kutangaza uamuzi mchungu wa kupunguza wafanyakazi katika taasisi na mashirika ya umma ambayo yameonekana kuwa mzigo katika utendaji.

Mashirika hayo yameelezwa licha ya kuwa na watumishi wengi, lakini bado uzalishaji na utendaji wake umekuwa hauna tija kwa taifa.

Hayo...

 

10 years ago

Habarileo

AG apewa rungu kura ya maoni

WAKATI kukiwa na matamanio na ushauri wa kutaka Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana kabla ya kuondoka madarakani, suala hilo limeachwa kwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupatiwa ufumbuzi.

 

11 years ago

GPL

MJAMZITO APIGWA RUNGU KICHWANI

Martha Laurent akiwa hospitali baada ya kupigwa rungu kichwani na mumewe Jumanne Suyi. Stori: Makongoro Oging’
“ILIKUWA siku ya mkesha wa mwaka mpya nikiwa nyumbani Mwembe Yanga, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, mume wangu alifika huku akiwa anapiga kelele na nilipomuuliza akanieleza kuwa leo ndiyo mwisho wangu kwani mimi ni mbwa. Majeraha aliyoyapata kichwani. “Nilimweleza kuwa sitaki fujo pia…...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani