Azam FC yaifuata Ndanda
MABINGWA wa soka Afrika Mashariki na Kati, Azam FC leo wanatarajia kwenda Mtwara kuifuata Ndanda ya huko kwa ajili ya mechi ya kujipima nguvu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Azam yaifuata Yanga kileleni
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Rekodi ya Ndanda yaitesa Azam
NA ABDUCADO EMMANUEL, MTWARA
LICHA ya kuwa na matokeo mazuri hadi sasa, Mabingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup), Azam FC, wameingiwa hofu katika mchezo wao wa leo dhidi ya Ndanda FC utakaofanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, mjini hapa.
Kocha wa Azam, Stewart Hall, ameliambia gazeti hili kuwa Ndanda si timu ya kubeza hasa kutokana na rekodi yake msimu huu ya kutopoteza mchezo wowote katika uwanja wao wa nyumbani hivyo watakuwa wamepania kuendeleza rekodi hiyo...
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Kocha Azam aipania Ndanda
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema atahakikisha kikosi chake kinapata ushindi dhidi ya Ndanda ya Mtwara kesho baada ya kuambulia pointi moja dhidi ya Yanga Jumamosi iliyopita.
Hall aliyepania kushinda mechi kumi za kwanza za Ligi Kuu, amesema mechi dhidi ya Yanga imevuruga hesabu zake, lakini ameyafanyia kazi makosa yaliyowagharimu ili kuendeleza wimbi la ushindi.
Azam ambayo msimu uliopita ilifungwa bao 1-0 na timu hiyo kwenye Uwanja wa Nangwanda...
9 years ago
Habarileo20 Oct
Azam yaenda kujaribu bahati kwa Ndanda
WAKATI michuano ya Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ikitarajiwa kuendelea kesho na keshokutwa katika viwanja mbalimbali nchini, timu ya Azam inatarajiwa kuondoka leo kwenda Mtwara kuifuata Ndanda FC ya huko, huku Simba ikiwa jijini Mbeya kuikabili Prisons na Yanga ikiwakaribisha Toto Africans jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Colombia yaifuata Brazil
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Ngorongoro yaifuata Nigeria
9 years ago
Habarileo10 Sep
Mtibwa yaifuata Stand Utd
MTIBWA Sugar wameifuata Stand United ya Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi utakaochezwa keshokutwa. Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga kwa ajili ya kusaka ushindi wa kwanza utakaoziweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Stars yaifuata Algeria kwa Jasho
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Yanga sc kamili yaifuata Mgambo Tanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha timu ya Yanga kinatarajiwa kuelekea jijini Tanga leo, tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mgambo Shooting uliopangwa kufanyika Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani mkoani humo.
Kwa mujibu wa kocha mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ataondoka na wachezaji wote wa timu hiyo na anatarajia kupanga kikosi kitakachoshuka dimbani kesho jioni.
Pluijm alisema kuwa awali walikuwa na mpango wakuweka kambi mjini Bagamoyo, lakini kutokana na sababu...