Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngorongoro yaifuata Nigeria

>Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania U-20, Ngorongoro Heroes imefuzu kucheza raundi ya pili ya kusaka kucheza fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana baada ya kuichapa Kenya kwa penalti 4-3 jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kocha Nigeria aichambua Ngorongoro

>Kocha wa timu ya taifa ya vijana ya Nigeria chini ya Miaka 20, Manu Garba, amewachunguza wachezaji wa  timu ya taifa ya Tanzania ya umri huo (Ngorongoro) na kusema kuwa wana tatizo la kukosa nidhamu ya mchezo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nigeria yatua kuivaa Ngorongoro Heroes

TIMU ya soka ya Nigeria ‘Flying Eagles’ imewasili nchini kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye miaka chini ya 20 dhidi ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ itakayopigwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakongo kuamua Ngorongoro Heroes vs Nigeria

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kuchezesha mechi namba 19 ya kufuzu fainali za vijana, kati ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ na Nigeria,...

 

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

9 years ago

Habarileo

Azam FC yaifuata Ndanda

MABINGWA wa soka Afrika Mashariki na Kati, Azam FC leo wanatarajia kwenda Mtwara kuifuata Ndanda ya huko kwa ajili ya mechi ya kujipima nguvu.

 

11 years ago

Mwananchi

Colombia yaifuata Brazil

Colombia itaivaa Brazil katika robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuwatupa nje ya mashindano Uruguay na Chile usiku wa kuamkia leo.

 

9 years ago

Habarileo

Mtibwa yaifuata Stand Utd

MTIBWA Sugar wameifuata Stand United ya Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi utakaochezwa keshokutwa. Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga kwa ajili ya kusaka ushindi wa kwanza utakaoziweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.

 

9 years ago

Mwananchi

Azam yaifuata Yanga kileleni

Mabingwa wa Kombe la Kagame, Azam wameutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani baada ya kuichapa Mbeya City kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jana.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga sc kamili yaifuata Mgambo Tanga

YangaNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya Yanga kinatarajiwa kuelekea jijini Tanga leo, tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mgambo Shooting uliopangwa kufanyika Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani mkoani humo.

Kwa mujibu wa kocha mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ataondoka na wachezaji wote wa timu hiyo na anatarajia kupanga kikosi kitakachoshuka dimbani kesho jioni.

Pluijm alisema kuwa awali walikuwa na mpango wakuweka kambi mjini Bagamoyo, lakini kutokana na sababu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani