Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba, Yanga zasaka zawadi ya Krismasi

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali kusaka pointi tatu muhimu na kutoa ‘zawadi’ ya Krismasi kwa mashabiki wake. Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ambao ni mabingwa watetezi wataikaribisha Mbeya City, mchezo ambao unatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wakitaka kujua nini kitavunwa leo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba, Azam FC zasaka makali ufukweni

Simba na Azam zimegongana ufukweni katika mazoezi yao ya kuweka sawa miili yao kabla ya mashindano mbalimbali yanayozikabili ikiwamo Kombe la Kagame na Ligi Kuu.

 

11 years ago

Mwananchi

Azam, Coastal, Yanga zasaka rekodi

Azam, Coastal Union na Yanga zinashindana kusaka rekodi za kipekee katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Suarez atoa zawadi ya krismasi

shambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez ametoa zawadi kwa watoto 500 na familia zao.

 

11 years ago

Habarileo

JK atoa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi

RAIS Jakaya Kikwete, ametoa kilo za mchele 1,200, lita za mafuta 220 na mbuzi 25 kwa ajili ya zawadi ya Sikukuu ya Krismasi kwa makundi maalumu.

 

9 years ago

Mtanzania

Leicester kuwapa mashabiki wake zawadi ya Krismasi?

CHELSEA'S MANAGER RANIERI LOOKS AT THE CROWD AFTER ENGLISH PREMIER LEAGUE SOCCER MATCH AGAINST LEEDS IN ...ADAM MKWEPU NA MITANDAO

KOCHA wa vinara wa Ligi Kuu England, Leicester City, Claudio Ranieri, ana mtihani mgumu leo pale timu yake itakapoikabili Everton kwenye moja ya michezo ya Ligi Kuu England.

Ushindi wa Leicester City utakua zawadi tosha kwa mashabiki wake kuelekea Sikukuu ya Krismasi kwani watakua wamejihakikishia timu yao kukaa kileleni mwa ligi wakati wa sherehe hizo.

Leicester City inajitupa uwanjani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi,...

 

9 years ago

Global Publishers

Tonto Dikeh apewa Prado na mumewe kama zawadi ya Krismasi

Prado-2016-4

Toyota Prado

MSANII mwenye vituko kunako tasnia ya filamu, Nollywood, Tonto Dikeh Sikukuu ya Krismasi mwaka huu imekuwa nzuri kwake baada ya mumewe kipenzi, Olanrewaju Churchill kumkabidhi Prado nyeupe kama zawadi ya sikukuu.

Prado-2016-5Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto aliweka furaha yake kwa mashabiki kwa kutupia picha ya gari hilo na kumuita mumewe huyo KingKong.

“Ahsante kwa KingKong wangu kwa kunibariki gari hili ambalo ni jipya kabisa, Prado ya mwaka 2016. Mungu akubariki sana wewe mtu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vituo vitatu vya watoto wenye uhitaji maalum vyapokea zawadi za krismasi kutoka PSPF

 

Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu ( kushoto) Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi watoto wenye ulemavu wa ngozi katika kituo cha Buhangija kilichopo Shinyanga  zawadi za Sikukuu ya Krismasi hapa watoto wenzao wakipokea zawadi hizo kwa niaba. 

Akikabidhi Msaada huo Afisa Fedha wa PSPF kutoka Makao Makuu alisema kwamba Mfuko wa Pensheni wa PSPF unalo lengo la kuwasaidia watoto wenye...

 

10 years ago

GPL

VITUO VITATU VYA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM VYAPOKEA ZAWADI ZA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

 Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na wa kwanza kushoto ni Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi watoto wenye ulemavu wa ngozi katika kituo cha Buhangija kilichopo Shinyanga  zawadi za Sikukuu ya Krismasi hapa watoto wenzao wakipokea zawadi hizo kwa niaba.   Akikabidhi Msaada huo Afisa Fedha wa PSPF kutoka Makao Makuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani