Suarez atoa zawadi ya krismasi
shambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez ametoa zawadi kwa watoto 500 na familia zao.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo25 Dec
JK atoa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi
RAIS Jakaya Kikwete, ametoa kilo za mchele 1,200, lita za mafuta 220 na mbuzi 25 kwa ajili ya zawadi ya Sikukuu ya Krismasi kwa makundi maalumu.
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI ATOA ZAWADI ZA SIKUKUU YA KRISMASI KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO WA KIJIJI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA.
9 years ago
Habarileo26 Dec
Simba, Yanga zasaka zawadi ya Krismasi
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali kusaka pointi tatu muhimu na kutoa ‘zawadi’ ya Krismasi kwa mashabiki wake. Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ambao ni mabingwa watetezi wataikaribisha Mbeya City, mchezo ambao unatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wakitaka kujua nini kitavunwa leo.
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Leicester kuwapa mashabiki wake zawadi ya Krismasi?
ADAM MKWEPU NA MITANDAO
KOCHA wa vinara wa Ligi Kuu England, Leicester City, Claudio Ranieri, ana mtihani mgumu leo pale timu yake itakapoikabili Everton kwenye moja ya michezo ya Ligi Kuu England.
Ushindi wa Leicester City utakua zawadi tosha kwa mashabiki wake kuelekea Sikukuu ya Krismasi kwani watakua wamejihakikishia timu yao kukaa kileleni mwa ligi wakati wa sherehe hizo.
Leicester City inajitupa uwanjani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi,...
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Tonto Dikeh apewa Prado na mumewe kama zawadi ya Krismasi
Toyota Prado
MSANII mwenye vituko kunako tasnia ya filamu, Nollywood, Tonto Dikeh Sikukuu ya Krismasi mwaka huu imekuwa nzuri kwake baada ya mumewe kipenzi, Olanrewaju Churchill kumkabidhi Prado nyeupe kama zawadi ya sikukuu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto aliweka furaha yake kwa mashabiki kwa kutupia picha ya gari hilo na kumuita mumewe huyo KingKong.
“Ahsante kwa KingKong wangu kwa kunibariki gari hili ambalo ni jipya kabisa, Prado ya mwaka 2016. Mungu akubariki sana wewe mtu...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Cdg_ipWwocw/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Vituo vitatu vya watoto wenye uhitaji maalum vyapokea zawadi za krismasi kutoka PSPF
![](http://2.bp.blogspot.com/-gduBIfGPWC0/VIxWLHxSb-I/AAAAAAAAZYk/0wVItceyWGQ/s1600/IMG_20141210_132655%2B-%2BCopy%2B-%2BCopy.jpg)
Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu ( kushoto) Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi watoto wenye ulemavu wa ngozi katika kituo cha Buhangija kilichopo Shinyanga zawadi za Sikukuu ya Krismasi hapa watoto wenzao wakipokea zawadi hizo kwa niaba.
Akikabidhi Msaada huo Afisa Fedha wa PSPF kutoka Makao Makuu alisema kwamba Mfuko wa Pensheni wa PSPF unalo lengo la kuwasaidia watoto wenye...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-gduBIfGPWC0/VIxWLHxSb-I/AAAAAAAAZYk/0wVItceyWGQ/s1600/IMG_20141210_132655%2B-%2BCopy%2B-%2BCopy.jpg)
VITUO VITATU VYA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM VYAPOKEA ZAWADI ZA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Amani atoa zawadi kwa mashabiki wake
NAIROBI, Kenya
STAA wa muziki nchini Kenya, Cecilia Wairimu ‘Amani’, ametoa zawadi ya video yake mpya ya ‘Heart breaker’ kwa mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu.
Msanii huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu kiasi cha kudhaniwa ameachana na muziki. Wimbo huo uliachiwa mwezi uliopita na video yake imetoka juzi,
“Najua mashabiki wangu walivunjika moyo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo, lakini kwa sasa watakuwa na furaha kutokana na video hiyo mpya, kikubwa...