Amani atoa zawadi kwa mashabiki wake
NAIROBI, Kenya
STAA wa muziki nchini Kenya, Cecilia Wairimu ‘Amani’, ametoa zawadi ya video yake mpya ya ‘Heart breaker’ kwa mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu.
Msanii huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu kiasi cha kudhaniwa ameachana na muziki. Wimbo huo uliachiwa mwezi uliopita na video yake imetoka juzi,
“Najua mashabiki wangu walivunjika moyo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo, lakini kwa sasa watakuwa na furaha kutokana na video hiyo mpya, kikubwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Flavour atoa kadi maalum za Krismas kwa mashabiki wake
Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Mr Flavour.
MWIMBAJI maarufu wa Nigeria, Flavour Na’abalia, ametoa kadi maalum za Krismas kwa mashabiki na wapenzi wake.
Mwimbaji huyo aliyetamba na kibao cha ‘Golibe’ ambaye anasemekana kuwa katika ‘mahaba niue’ na mwimbaji maarufu wa kike wa Nigeria, Chidimma Ekile, ametoa kadi hizo zenye picha yake ambazo zinamwonyesha akiwa na taswira ya kuvutia.
Katika picha hiyo, Flavour anaonyesha mwili wake wa kuvutia, tatuu kibao na akiwa kifua...
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
Ray Kuwapa Zawadi ya Pasaka Mashabiki Wake
Staa wa Bongo Movies, anaemiliki kampuni ya RJ, Vicent Kigosi (Ray) anatarajia kuachia filamu yake ya Kichwa cha Kuku tarehe 01.04.2015 kama zawadi ya pasaka kwa mashabiki wake.
Ray amesema kwenye filamu hiyo amecheza na waigizaji wengi nyota akiwemo Skyner Ally na Rayuu na kueleza kuwa filamu hiyo inamafundisho makubwa sana kwa wanawake wanaoishi kwenye ndoa zao akifafanua filmu hiyo anasema "Unajua katika maisha siku zote mwanamke anatakiwa kujiamini na anachokokifanya usidhani kama...
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Leicester kuwapa mashabiki wake zawadi ya Krismasi?
ADAM MKWEPU NA MITANDAO
KOCHA wa vinara wa Ligi Kuu England, Leicester City, Claudio Ranieri, ana mtihani mgumu leo pale timu yake itakapoikabili Everton kwenye moja ya michezo ya Ligi Kuu England.
Ushindi wa Leicester City utakua zawadi tosha kwa mashabiki wake kuelekea Sikukuu ya Krismasi kwani watakua wamejihakikishia timu yao kukaa kileleni mwa ligi wakati wa sherehe hizo.
Leicester City inajitupa uwanjani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi,...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-HnOpTiyGrBA/VXnHxiZs_nI/AAAAAAAAvik/ZLH-IHn63IU/s72-c/officiallinah1.jpg)
LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...
![](http://3.bp.blogspot.com/-HnOpTiyGrBA/VXnHxiZs_nI/AAAAAAAAvik/ZLH-IHn63IU/s640/officiallinah1.jpg)
LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmimpenzi wake mpya ambaye amedai ni msaniimkubwa wa nchini Nigeria.LinahAkizungumza na kipindi cha Planet Bongo chaEast Africa Radio, Linah alisema anampendampenzi wake huyo mpya na kwamba siku ikifika,ataamua kumweka wazi ili mashabikiwamtambue.“Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwasana, yaani huyo nampenda na hii sio project iporeal, mtamuona tu...
10 years ago
GPLROSE NDAUKA ATOA ZAWADI KWA WATOTO WALEMAVU
9 years ago
VijimamboRAIS DK. JAKAYA KIKWETE ATOA ZAWADI YA IDD EL HAJI KWA MAKUNDI MBALIMBALI
10 years ago
GPLIGP ATOA ZAWADI NONO KWA ATAKAYEFANIKISHA KUKAMATWA MAJAMBAZI WALIOVAMIA STAKISHARI
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1.Msomaji-wa-Gazeti-la-la-Uwazi-mkazi-wa-eneo-la-Buza-Bakwata-akipokea-zawadi-yake-ya-Sukari-kutoka-kwa-Mr.-Uwazianayeshudia-kulia-ni-Ofisa-Usambazaji-wa-GlobalYohana-Mkanda..jpg?width=650)
MR UWAZI AMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE
11 years ago
GPLUWAZI LATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE